Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
Acha kudanganya watu wewe. Kama vipi rudi Bongo. Unasema chungu huku unakula tukueleweje sasa
Nimeamua kumsikiza jamaa mpaka mwisho japo clips za aina hii huwa zisikilizi. Kwa kifupi huyu ni mtu aliyezoea maisha ya Bongo ya ujanja ujanja, anayeona kufanya kazi ni ''kuishi maisha magumu''. Unamsikia kabisa anasema huku hakuna kudhumu, mishemishe etc. Hili ni la kweli. Ulaya na nchi zilizoendelea ukimleta mtu kama Bashite au Haji Manara wanaoishi kwa ''ujanja ujanja'' ni lazima watasema maisha ni magumu. Bongo tumezoea shortcuts, kutajirika bila kufanya kazi.Hakuna sehemu maisha ni rahisi.
Maisha hayajawahi kuwa rahisi, maisha si rahisi, Hakuna siku maisha yatakuwa rahisi.
In the jungle of life salvation is largely on your hands.
The world isn't for the faint hearted.
Korea Kusini ndiko kuna ''ujanja ujanja'' wa kuingiza kipato? Wabongo tuache kuona kazi ni kama laana. Bongo watu wamezoea shortcuts, kubadilisha mademu na kuzalisha wanawake bila kuwajibika... Ulaya hakuna.Nikweli, kwasasa sehemu ya kuzamia ni Korea kusini.
inategemea una mishe gani nipo nje ya bongo miaka 5 sasa lakini kuna hatua naona nimepiga tofauti na nilivyokuwa bongo
Unajidanganya na hizo movie unatizama kwa Tv.Nikweli, kwasasa sehemu ya kuzamia ni Korea kusini.
Mkuu upo nchi gani?inategemea una mishe gani nipo nje ya bongo miaka 5 sasa lakini kuna hatua naona nimepiga tofauti na nilivyokuwa bongo
Tena nilikuwa muajiliwa serikalini ila toka nije huku nje kuna tofauti kubwa sana nimeona na sijutii maamuzi yangu
Nakusalimia kwa jina la Influencer (in doto magari voice)Tanzania hii tumezoea kuona wauza unga wanajiita waigizaji, wachekeshaji na wana muziki na wana siasa na ndio matajiri kwa kupitia vichaka walivyojifichia.
Nchi ambayo muziki hauuziki lakini mwana muziki anakuwa bilionea.
Mtu ambaye hajasoma anakuwa mbunge, anawakilisha wadomi.
UDASA wana Phd wanagoma kudai stahiki zao, mjinga mtaani ana kuwa mbunge analipwa pesa za wasomi walalahoi.
Nchi hii mtu asiye na ajira au biashara ndiye anakuwa maarufu na tajiri.
Hao ndio watatuambua maisha ya ilaya magumu.
🇨🇦Mkuu upo nchi gani?
Hao ni ma "infuenza" wanauziana unga sirini halafu wana gawana pesa hadharani.Nakusalimia kwa jina la Influencer (in doto magari voice)