Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 62,267
- 156,855
Hivi si niolewe tu? Mbona maisha magumu kiasi hiki? Atlist mume akiwepo mtu huumizi sana kichwa we ni kutoa zako taarifa tu aisee mboga hamna aisee unga umeisha mchele umeisha basi.
Sasa sisi tunaojifanya vichwa ngumu kuolewa ndo tunakoma sasa. Kama saivi gesi imekata ghafla mkaa sina unga umeisha mchele umeisha mafuta yameisha inshort vitu vingi vimeisha kwa pamoja luku iko mbioni kukata yani ni majanga tupu. Hapo bado sijasuka kichwa nacho kinahitaji mweh!.
Maisha ya usingo usawa huu sio kabisa.