Maisha ya ubachela

Jipange dada usidhani ndoa ni kama kupiga picha huku umejibinua makalio

Ivi siku izi kusema NATAFUTA MUME ni kazi ngumu eehh..
Wakati mwingine sista nenda straight tu..Ayah wamekuelewa

Proposals zinakuja nyiiiiingiii mi mwenyewe tu mambooo yangu ya Chagua Chagua ndomana nasema si niolewe tyu!
 
Aliyekwambia maisha ya ndoa kila kitu afanye mwanaume ni nani? Ingia uone raha na karaha yake
 
Kinachounganisha watu katika ndoa ni upendo na wala sio pesa. Kama hakuna upendo, hakuna ndoa. Kama unataka kuolewa kwa lengo la kujikwamua kiuchumi; nenda, ukija kulia baadae usiseme kuwa hukuambiwa.
 
Ukienda kuolewa kwa lengo la kukwepa Ugumu wa maisha na mume akagundua lengo lako aisee atakusumbua mpk ukome

Sikwepi ila naongelea unafuuu muda mwingine wee hata kama una hela ila upo hom baba mtu yupo mjini sijui wapi huko kwenye mizunguko yake unamtumia sms tu baba fulani ukirudi naomba unijie na mboga khakhaa hawezi kubisha
 
Ndio nataka hayo matumizi ya kwa mwezi sasa khakhaaaa! Nahivi mwezi ulopita nilitumia vizuri so sijahemea ndo alete nihemee ya mwezi huu
 
Siunasubir mwenye Mark X nyumba kazi nzur utasubir sana
 
Aliyekwambia maisha ya ndoa kila kitu afanye mwanaume ni nani? Ingia uone raha na karaha yake

Hivi nimesema kila kitu anunue yeye?? Namimi mshahara wangu ufanye nini sasa?!? naongelea unafuuu kama hapa nisingeumiza kichwa kiviiiiiiile najua gesi angejaza nakadhalika nakadhalika
 
Kinachounganisha watu katika ndoa ni upendo na wala sio pesa. Kama hakuna upendo, hakuna ndoa. Kama unataka kuolewa kwa lengo la kujikwamua kiuchumi; nenda, ukija kulia baadae usiseme kuwa hukuambiwa.

Wanawake wa sikuhizi unawajua wewe?? Hao unasemea walishakufaga sio wa sasa kama wapo 10 kazi ya Mia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…