dadu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 475 Reaction score 332 Sep 4, 2016 #322 Miss Natafuta said: yaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini hata naogopa kuolewa Click to expand... Ni maneno ya kweli hayo? Mbona taarifa zilizopo masponsor wamepotea kutokana na ukata uliopo Siku hizi upate kidogo au upigwe saund wajanja wale halafu wakimbie
Miss Natafuta said: yaani nawaheshimu sana masponsor hapa mjini hata naogopa kuolewa Click to expand... Ni maneno ya kweli hayo? Mbona taarifa zilizopo masponsor wamepotea kutokana na ukata uliopo Siku hizi upate kidogo au upigwe saund wajanja wale halafu wakimbie
dadu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 475 Reaction score 332 Sep 4, 2016 #323 mwekundu said: Hapa ndo maana ya kuoa inapopotea ,wengine wanaolewa wapate hifadhi Click to expand... Wanakuwa wakimbizi makwao hoi na mitaani pesa imekata
mwekundu said: Hapa ndo maana ya kuoa inapopotea ,wengine wanaolewa wapate hifadhi Click to expand... Wanakuwa wakimbizi makwao hoi na mitaani pesa imekata
dadu JF-Expert Member Joined Aug 21, 2016 Posts 475 Reaction score 332 Sep 4, 2016 #324 mahondaw said: Wee tangazo liko wapi?? Acha mambo yapo wewe mabwana kibao Ninao ndo nataka nifanye uamuzi tehteh Click to expand... Uamuzi wako kati ya hao wengi wataka uchague anaetoa zaidi mbona wasema wataka kufanya uamuzi bado hujafanya tu Mchagua sana nazi hupata .......
mahondaw said: Wee tangazo liko wapi?? Acha mambo yapo wewe mabwana kibao Ninao ndo nataka nifanye uamuzi tehteh Click to expand... Uamuzi wako kati ya hao wengi wataka uchague anaetoa zaidi mbona wasema wataka kufanya uamuzi bado hujafanya tu Mchagua sana nazi hupata .......