Maisha ya ubachela

Tatizo nn usiolewe una kasoro gan, Ila pia isiamini mwanaume eti ndo solution ya Maish yako, jitume je Suki akifulia huyo mwanaume si utamkimbia? Na utakimbia wangapi?????

Mi Mwenyewe tu ndo nazingua kama kuolewa ningeolewa pindi tu nilipomaliza six apart from that wachumba kibao nawakataa mimi mwenyewe
 
Ni juu yangu mimi kukubali tu nakujipanga kufanya process kwani inahitaji pesaaaaaaa na maandalizi ya vikao n.k
dah jipange Dada yangu vizur gharama. nandoa niheshima so kama vip fanya mpango uolewe
 
Mi Mwenyewe tu ndo nazingua kama kuolewa ningeolewa pindi tu nilipomaliza six apart from that wachumba kibao nawakataa mimi mwenyewe
Ila siyo vizuri kukaa muda mrefu ukiwa Bachela maana utazoea kujiamulia so ukiolewa hutataka mumeo akupangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…