dev senior
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 460
- 558
Maharage yanapikwa usiku wa manane ikifika asubuhi yanaliwa na chai....Ukiwa serious maisha ya ubachela yana raha yake na ni kama adventure fulani hivi. si ajabu ukaanza kupika maharage saa saba usiku. sometime kachumbali huwa mboga kuu. Bila kusahau wakati wowote ni wakati wa chai. Kifupi wengi hutokea kuwa wapishi wazuri ingawa ishue ya kuosha vyombo hasa sururia ni ngoma.
Kweli kabisa 100%. Kwangu mimi jambo ambalo sijafaulu hadi sasa ni kupika ugali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wazee wetu huwa mbwembwe nyingi ila kwenye kupika ndo zero! Umenikumbusha mzee alipika ugali mtepe enzi hizo, sasa ole uinuke mapema, ni nakoz tu
Maharage yanapikwa usiku wa manane ikifika asubuhi yanaliwa na chai....
[emoji23] [emoji23]
Tatizo surali za jinzi, shati ni changamoto sana..Msisahau kuoga na kufua makufuli ni mitihani mingine ya ubachela aachilia mbali ile harufu pendwa ya soksi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hakuna kitu sipendi kama kuchomeka na kuchomoa net kulaleki. Toka niichomeke sikumbuk lini natumbukuia na kutoka kama nijnja
hamna kazi ngumu kwa Bachelor kuosha vyombo [emoji23][emoji23]
Muwe mnatoa ajira muache uchoyoNilijua ni mm pekee angu, Yaani namwaga maji hafu naweka mengine ikinizingua naitupa kabisa.
SIPENDI KUFUAAA wala KUPIKA
Muwe mnatoa ajira muache uchoyo
Wewe bila shaka utakuwa ni Junior bachelor, Senior bachelao hawezi kuwa hivi...huu ni uchafu uiopitiliza!*Fahamu maisha ya ubachela*
Maisha ya ubachelor unaweza kujishaua kufululiza kupika msosi hata mwezi mzima ila vyombo visafi vikiisha ndani unarudi kwenye utaratibu ule ule wa kula chipsi na paja la bukujero.Maisha ya ubachela kila siku tunapoteza vijiko kidogo kidogo kwa kumwaga maji ya ukoko wa ugali.
Maisha ya ubachela unaweza kuloweka sufuria ulopikia ugali likakaa na maji wiki nzima yakianza kunuka unamwaga halafu unaweka tena maji mengine.
Maisha ya ubachela mara nyingine neti hugeuka kuwa hema.Ikichomekwa haichomolewi mpaka siku utakapopata mgeni.
Maisha ya ubachela hufika kipindi mtu unageuka mbwa, unanusa kwanza nguo ili ujue kama unaweza kuipa round ya pili au hapana.
hapo ni jela au gheto?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ni vituko uswahiliniNilijua ni mm pekee angu, Yaani namwaga maji hafu naweka mengine ikinizingua naitupa kabisa.
SIPENDI KUFUAAA wala KUPIKA