Silivian Member Joined Nov 13, 2022 Posts 90 Reaction score 218 Jan 1, 2026 #1 Kumuokoa mwanaume, mpe michongo.. Kumuokoa mwanamke, mpe mwanaume..
Infropreneur JF-Expert Member Joined Aug 15, 2022 Posts 13,981 Reaction score 30,339 Jan 1, 2026 #2 Kwanza jiokoe mwenyewe kabla ya kuokoa wengine. Usisubiri kuja kuokolewa.
Holoholo JF-Expert Member Joined May 10, 2023 Posts 8,708 Reaction score 19,577 Jan 1, 2026 #3 Kuna wengine hapa Dar, kumwokoa mwanaume ni kumpa mwanaume.
Marco Seth JF-Expert Member Joined Oct 21, 2022 Posts 5,283 Reaction score 6,741 Jan 1, 2026 #4 Ni kusaidiana tu
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,782 Reaction score 165,424 Jan 1, 2026 #5 Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee
Vien JF-Expert Member Joined Mar 6, 2020 Posts 8,306 Reaction score 14,697 Jan 1, 2026 #6 Kila mtu anahitaji pesa, labda katika huo uokoaji njia mnazotumia sio za kawaida
Silivian Member Joined Nov 13, 2022 Posts 90 Reaction score 218 Jan 1, 2026 Thread starter #7 min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... 2/10
min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... 2/10
A man from Island JF-Expert Member Joined Aug 13, 2020 Posts 522 Reaction score 1,178 Jan 1, 2026 #8 Infropreneur said: Kwanza jiokoe mwenyewe kabla ya kuokoa wengine. Usisubiri kuja kuokolewa. Click to expand... Perfect kabsa, Hata mim hii kaul nimeugundua kwa sasa, usisubl raman na michongo ya kutengenezewa, usisubl flan cjui akusomee mchongo mahali, ndgu yangu! utasugua sana, utasugua hadi ushangae, utajikuta unapoteza muda na miaka inasonga! Michongo pambana wew kama wew kutengeneza mchongo mwenyewe, chakalika unavyoweza wew ndo uwe raman yenyewe, usisubl raman ya kucholewa, jicholee wew mwenyewe raman.
Infropreneur said: Kwanza jiokoe mwenyewe kabla ya kuokoa wengine. Usisubiri kuja kuokolewa. Click to expand... Perfect kabsa, Hata mim hii kaul nimeugundua kwa sasa, usisubl raman na michongo ya kutengenezewa, usisubl flan cjui akusomee mchongo mahali, ndgu yangu! utasugua sana, utasugua hadi ushangae, utajikuta unapoteza muda na miaka inasonga! Michongo pambana wew kama wew kutengeneza mchongo mwenyewe, chakalika unavyoweza wew ndo uwe raman yenyewe, usisubl raman ya kucholewa, jicholee wew mwenyewe raman.
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,447 Reaction score 11,315 Jan 3, 2026 #9 min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... Wao wanakupa hiyo michongo ya pesa?
min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... Wao wanakupa hiyo michongo ya pesa?
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 57,782 Reaction score 165,424 Jan 3, 2026 #10 Xiao qui shui said: Wao wanakupa hiyo michongo ya pesa? Click to expand... Ndio
Natafuta Ajira JF-Expert Member Joined Mar 25, 2020 Posts 14,125 Reaction score 39,883 Jan 7, 2026 #11 min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... Angalao ukiwapa michongo wanaume pesa itashuka mpaka kwa wanawake, lakini ukiwapa michongo wanawake pesa haizunguki mpaka kwa wanaume. Mwanaune akipata hela wazo la kwanza ni kum-spoil mwanamke wake. Mwanamke akioata hela wazo la kwanza ni kumwondoa mwanaune kwenye maisha yake
min -me said: Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee Click to expand... Angalao ukiwapa michongo wanaume pesa itashuka mpaka kwa wanawake, lakini ukiwapa michongo wanawake pesa haizunguki mpaka kwa wanaume. Mwanaune akipata hela wazo la kwanza ni kum-spoil mwanamke wake. Mwanamke akioata hela wazo la kwanza ni kumwondoa mwanaune kwenye maisha yake