Perfect kabsa, Hata mim hii kaul nimeugundua kwa sasa, usisubl raman na michongo ya kutengenezewa, usisubl flan cjui akusomee mchongo mahali, ndgu yangu! utasugua sana, utasugua hadi ushangae, utajikuta unapoteza muda na miaka inasonga! Michongo pambana wew kama wew kutengeneza mchongo mwenyewe, chakalika unavyoweza wew ndo uwe raman yenyewe, usisubl raman ya kucholewa, jicholee wew mwenyewe raman.Kwanza jiokoe mwenyewe kabla ya kuokoa wengine.
Usisubiri kuja kuokolewa.
Wao wanakupa hiyo michongo ya pesa?Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee
NdioWao wanakupa hiyo michongo ya pesa?
Angalao ukiwapa michongo wanaume pesa itashuka mpaka kwa wanawake, lakini ukiwapa michongo wanawake pesa haizunguki mpaka kwa wanaume.Hata wanawake wanahitaji michongo ya pesa usiwachukulie poa bwashee