ilala yetu
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 1,714
- 2,670
dah mwenyew nimeanza upenda huo wimbo baada kumuona piere anaucheza aiseee..Umaarufu ameupata kutokana kucheza muziki hasa WA WCB na kuchekesha watu kwani uwa ameshakunywa, binafsi jamaa anavutia watu wengi kwenye kuchekesha , kingine huyu mshikaji ni dalali , kingine Ile ni kama ni marketing strategy ( promotion) ya products mbalimbali kwani uangaliwa na watu wengi , mi binafsi nimeujua vizuri wimbo WA fire waist kupitia huyu jamaa