Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,588
- 7,288
mmasai kwa baba na mpare kwa mamaHivi uyo mjinga ni Mchaga ama Muha wa Kigoma
Sent using Jamii Forums mobile app
mmasai kwa baba na mpare kwa mamaHivi uyo mjinga ni Mchaga ama Muha wa Kigoma
Hahahahaha!!!Kajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.
[emoji23][emoji23][emoji23] niliona hiyo clip dah.Hahahahaha!!!
Hiyo hasi na chanya imenikumbusha dogo mmoja anasema kichwani kwake ni vurugu match, huku hasi kule chanya..
Aisee yaani unatoa sh 5000 kwa ajili ya huyu kiumbe hakika ni matumizi mabaya ya fedha
Nilijua ni mchaga au muha....
Hahahahaha!!!
Hiyo hasi na chanya imenikumbusha dogo mmoja anasema kichwani kwake ni vurugu match, huku hasi kule chanya..
Unajua wakina joti na mpoki walianzaje kuigiza? endelea kuita vitu vya kijinga wakati watu wanapiga hela, kwenye biashara hakuna kitu muhimu kama marketing, mtu kama huyu anatumika vitu kwenye marketing ndio maana unaona wanamtumia na wanamlipa, mwenzako saivi hatumii hata sh mia yake kwenye matumizi ya kila siku na maybe kuna kidogo anachosave(akitumia akili), sasa wewe subiri mshahara wako wa laki 3(bado haujakatwa P.A.Y.E, VAT, NSSF,NHIF, ETC) huku unasema vitu vya kijinga.Yaani Tz vitu vya kijinga jinga ndiyo vinashangiliwa sana
Huyu anaigiza au analewa ndo apige kelele?Unajua wakina joti na mpoki walianzaje kuigiza? endelea kuita vitu vya kijinga wakati watu wanapiga hela, kwenye biashara hakuna kitu muhimu kama marketing, mtu kama huyu anatumika vitu kwenye marketing ndio maana unaona wanamtumia na wanamlipa, mwenzako saivi hatumii hata sh mia yake kwenye matumizi ya kila siku na maybe kuna kidogo anachosave(akitumia akili), sasa wewe subiri mshahara wako wa laki 3(bado haujakatwa P.A.Y.E, VAT, NSSF,NHIF, ETC) huku unasema vitu vya kijinga.
Hahaha..Maisha hayako fairhv huyu jamaa si ndio wale wahujum uchumi jamani.. yaani tulio serious na maisha, hata nusu ya raha anazokula hatumfkii.. maisha haya jamani[emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app