Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,550
- 2,200
Dish limecheza
Kupiga picha na yako kalevi unalipa madafu 5,000!!
Kimo chake ni kama mwala yule wa Kenya. Tens hata hampati. Halafu ana kina kuwa kuliko kimo chake.Sijawahi kumuelewa huyo jamaa hata siku moja ni nini kinawafanya mna mshabikia hivyo
Ni fundi seremala bishooHivi huyu ana Nyimbo labda, au movie au anacheza mchezo wowote ule? [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kha,nitoe book 5 kupiga picha na huyo mlevi ?Kupiga picha na yako kalevi unalipa madafu 5,000!!
Eti na yeye ana Manager wake!!
Ha ha ha, shauri yako; wenzako wanatoa hizo buku tano tano.Kha,nitoe book 5 kupiga picha na huyo mlevi ?
Wanagain nini sasa kutokana na kupiga picha na huyo?Ha ha ha, shauri yako; wenzako wanatoa hizo buku tano tano.
Umaarufu wa mtandaoni.Wanagain nini sasa kutokana na kupiga picha na huyo?
Yaan Mpaka inashangaza.... Huyu jamaa hamna cha maana chochote anachokifanya zaidi ya kubwabwaja akiwa amelewa halafu watanzania ndio wanamuona wamaana na maarufu....Yaani Tz vitu vya kijinga jinga ndiyo vinashangiliwa sana
Hapa Kuna watu wanamtetea,sisi waTz watu wa ajabu sana mkuuYaan Mpaka inashangaza.... Huyu jamaa hamna cha maana chochote anachokifanya zaidi ya kubwabwaja akiwa amelewa halafu watanzania ndio wanamuona wamaana na maarufu....
Tuna safar ndefu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu mmoja mpuuzi tu anaesapotiwa na walevi wezakeHivi huyu ana Nyimbo labda, au movie au anacheza mchezo wowote ule? [emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jeuri pesaKupiga picha na yako kalevi unalipa madafu 5,000!!
Eti na yeye ana Manager wake!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.
ni mchekeshaji huyo jamaa huo ulikua utani.Kajamaa upstairs zitakuwa hasi na chanya zimeingiliana, kuna siku anahojiwa akaulizwa umeoa akajibu bado umri ukifika nitaoa. Mtangazaji akamuuliza unaumri gani akasema kama 45 hivi nakumbuka, hapo nika'conclude hayupo sawa.