Maisha ya Pierre 'Likwidi'

Maisha ya Pierre 'Likwidi'

Hapa Kuna watu wanamtetea,sisi waTz watu wa ajabu sana mkuu
Kwani tatizo la pierre ni nini ndugu? Yeye alikuwa kwenye life style yake,watu wamependa life style yake,na wameenda mbali zaidi wanampa mpaka dili kwa life style yake,sasa wewe unaumia nini??

Muacheni mwana apige pesa, kama unamuona mjinga,hakuna mtu kakulazimisha kumshabikia,wewe endelee kuwa seriasi kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengine wanasema pierre kumshabikia ni ujinga. Hivyo kuna ujinga zaidi ya alioufanya Lowassa juzi hapo. Mbona utukani watu wakimshabia lowassa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani tatizo la pierre ni nini ndugu? Yeye alikuwa kwenye life style yake,watu wamependa life style yake,na wameenda mbali zaidi wanampa mpaka dili kwa life style yake,sasa wewe unaumia nini??

Muacheni mwana apige pesa, kama unamuona mjinga,hakuna mtu kakulazimisha kumshabikia,wewe endelee kuwa seriasi kaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga ni hao wanaomshangilia mlevi
 
watu kama hawa hivi serikali haiwezi kufanya mchakato angalau wawe wanakusanya kodi kutoka kwao
Sasa itafika wakati ukiwa na idadi fulani ya followers na uka trend kwenye mitandao ya kijamii ukatwe kodi au siyo???
 
Kila mtu ana style ake ya kutoboa kimaisha so Achen ale bata jaman
 
Yaan Mpaka inashangaza.... Huyu jamaa hamna cha maana chochote anachokifanya zaidi ya kubwabwaja akiwa amelewa halafu watanzania ndio wanamuona wamaana na maarufu....
Tuna safar ndefu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo umenena mkuu. Huyu jamaa hana matatizo ila sisi watanzania na akili zetu. Halafu kili hizi hizi ndo tunaenda nazo kupiga kura!!!! aiseee
 
Aisee wasomi wanataka umaarufu na wao? Bullshit

Alafu huu ujinga wa kuitana wasomi ndio unalemaza watu wanakufa maskini...

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
Yes that's very true bro, unakuwa msomi halafu Una kitu, unaogopa kujichanganya mtaani
 
They are just using him...anapenda ulabu basi sasa hivi angekuwa na mchuzi wa nguzi …..kama angesajili misemo yake…..
"its okeyyyyy"
"FIRE LIQUID..TIPS...NK

Unapataje michuzi ya nguvu kwa kusajili misemo? Nani kawai sajili misemo akapata utajiri?
 
Back
Top Bottom