Maisha ya Pierre 'Likwidi'

Maisha ya Pierre 'Likwidi'

piere nasikia kaalikwa texas usa... akalewe bia za huko
 
Yaani Tz vitu vya kijinga jinga ndiyo vinashangiliwa sana
Ndugu yangu, nchi ina matawala mapumbav kila dakika lazima yatibue watu.

Acha watu wawe wanajifariji.

Ukichukulia serious drama za wakoloni weusi nchi hii utakufa kwa pressure.

Juzi Lowassa kahamia CCM na kapokelewa na viongozi wote wa nchi na serikali huku mwenyekiti wake MBOWE akiwa mahabusu!
 
Haka kajamaakamejiunga na ufree mason.

Hawa jamaa ukijiunga lazina utoke haijalishi umefanya nini
Angalia alama za vidole na picha ya tshirt viamtambulisha
tapatalk_1551972826167.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa nilimuotea akihojiwa BBC ikibidi nisikilize anasema nini pale mtangazaji aliposema emu jitambulisha kwa vionjo vyako nikasikia ' sei yeeeeeeeeeeh... mamaa nakufa... liquid hatari.. firee.... ndipo nikagundua umaarufu hauna formular
Aiseee mpaka bbc wamemuhoji
Amshukuru sana lilian sijui jane gumbo wa liquid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha atusue kwa muda mrefu sasa sisi walevi tumekuwa atuna kiongozi kwa hisani ya walevi tunaomba huyo jamaa awe mwenyekiti wetu.
 
Back
Top Bottom