Maisha ya Pemba; Hivi kuna ufuska kule? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maisha ya Pemba; Hivi kuna ufuska kule?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Feb 1, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kwa kweli naandika post hii kuwapongeza wanaoishi Pemba, kwani hata katika statistics za afya, kule ndio kwenye maambukizi kidogo zaidi ya Ukimwi.

  Nakumbuka niliwahi kuwa Pemba kwa siku chache, ambapo pamoja na tamaduni tofauti zilizokuwa zinanishangaza, lakini moja ilinishangaza zaidi; Kwa siku sita nilizokaa pale, sikuwahi kuona hata mkono (zaidi ya viganja) na nyuso (kwa wachache) kwa wanawake. Ni full baibui na vilemba.

  Nilikuwa nafundisha katika warsha fulani na walipotakiwa kufanya group discusion, haikuruhusiwa kuchanganyika wanawake na wanaume. Hii ilileta ugumu kwani ilipofika wakati groups zipresent kazi zao, ilikuwa shida sana kutokea mwanamke awakilishe group yake, na hata tuliposisitiza sana, basi waliojitokeza hawakuwa wanaweza kuelekeza kitu ubaoni , kwani kwa kufanya hivyo wangewageuzia watu maumbile yao kwa nyuma, na pengine angelazimika kunyanyua mkono na kufanya pengine kiwiko kionekane!

  Walivyostrict na sheria zao, nikajiuliza, 'hivi Pemba kunaweza kuwa na zinaa'?
  Kwa kweli zilikuwa siku chache ambaye kwa watu tuliozoea huku kwetu changanyikeni, zilikuwa ngumu sana...
   
 2. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Kule kunaitwa MAKKA ndogo. Ikifika saa mbili usiku huoni mtu nje.
   
 3. makandokando

  makandokando JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 300
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  dah, nazimiss sana enzi hizo.....siku hizi huku kwetu changanyikeni vidada vinatembea na chupi nje nje.....vinajifanya vinajua kila kitu yani.


  sijui kwa nini wasichana wa sikuhizi wanaona ni lazima waonyeshe sehemu kubwa ya miili yao....halafu wanasema wanaume ndio wanatabia mbaya.
   
 4. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa sijui ila kwa data za UKIMWI nakubali maambukizo yako chini sana
   
 5. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  mkuu ni kweli kabisa wanawake wa pemba sio rahisi kuiona mikono yake na hata sura yake, full baibui kwa kwenda mbele.
  Lakini hicho sio kigezo kwamba hawafanyi zinaa. Wapo wanaofuata maadili kama inavyoelekezwa na ni wengi lakini mazingira ndo yamechangia kwa kiasi kikubwa wao kulazimika kuwa watiifu.

  Hebu wakute wapemba hao hao katika mazingira tofauti, mfano hapa dsm watoto wa kipemba wanawapa shida sana dada zetu. Mabinti wa kipemba wala huwezi kuwatofautisha na wengine, pedo pusha na vitopu kama kawa.

  Nilipata kufika sehemu moja unguja inaitwa Nungwi, huko kuna mahoteli ya kutosha ya kitalii na ya kawaida. Lakini pia kuna makazi ya wananchi jirani kabisa na hizo mahoteli na shughuli za uvuvi kama kawaida ya visiwani. Basi hapo nungwi kuna wadada wengi sana toka Tanga. Wamewashika wapemba hadi wamesahau familia zao, wanawake wa kizanzibari wanawachukia sana wadada wa Tanga kwa kuwaibia waume zao. wapemba wakishatoka baharini tu breki ya kwanza nyumba ndogo tangaline. Kwahiyo pemba kuna zinaaa kidogo kwakuwa wanaogopa kushikishwa adabu si kwa sababu ya maadili, ndo maana wakiwa maeneo mengine ni libeneke kwa kwenda mbele.
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kwani kwetu kukoje?
  I mean huku bongo na Tanganyika yetu, mwalimu yupo ubaoni na mini...na walaaa hajali
   
 7. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  Inachekesha saana kwa the way ulivyo-flow, ila NI KWELI KWA USEMACHO. Hapa mjini wanaoongoza kukwapua katika maduka ya simu ni hao wavaao baibui na niqaab, tena wamegeuza vazi la heshima kuwa chambo. Pili, hawawezi kuishi huku bongo bila ya kuwa na boyfriend. Na haya mambo ya facebook ndo imewavuruga kabisa akili kwa kutongozana online na asbh wanawaaga wazazi wao ''Baba, leo naenda kumtembelea cousin wangu kulee chanika..ushan'faham eeh ndo amekuja toka micheweni atiiii'
   
 8. Elia

  Elia JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 3,442
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ukimwi upo ila kwa kiwango kidogo, population yao ni ndogo, kule ni vigumu kuchukua mwanamke, utajificha wapi! sio kwamba wanafuata saana maadili....
   
 9. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0


  Mkuu USIHADAIKE KABISA kwanza ufuska upo wa kutosha mie niliwahi kukaa huko na ukitaka kutafuna lazima uende KIMYA KIMYA SANA watu wasijue. Hapo utatafuna kwa uwezo wako.
  Wako warahisi sana ila usijionyeshe kwa watu, mfanye siri kubwa sana na utatafuna wa kila aina: KUANZIA WALI, WAJANE, NA HATA MAJIMAMA YA NYUMBANI UTAGONGA BILA SHIDA.

  TAKWIMU hizo ni za tangu 2002 hivyo sio kiashiria kuwa NGOMA HAIPO ipo kwa wingi tu.

  Kutokana na hali KUBWA YA UNYANYAPAA KISIWANI HUMO, watu wengi hawajitokezi kupima na hivyo hufunga safari hadi TZ BARA KUPIMA.
  NA WAKIGUNDULIKA HUWA NI SIRI YAO MOYONI KATU HAWASEMI.

  ILA TOTOZ ZIMETULIA MAANA HATA IKIWA NDANI YA BUI BUI UNAIONA FIGURE IMESIMAMA SAAAFI KABISA.

  UKIBAHATIKA KUITANDIUA UNAIFAIDI SANA ZIPO TOTOZ ZIMEUMBIKA SANA HUKO.

  NA UKIWA MTUNDU KATIKA BED WANAPAGAWA SANA NA KUTAKA HATA KUHAMIA JUMLA ILA KM WW NI BATHLOMEO INABIDI UBADILI UWE SHAIBU HAPO NDIO KAZI KWELIKWELI.:coffee:
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana kabisa na wewe, ukichukua mwanamke kila mtu atajua......
   
 11. czar

  czar JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jaribu uone moto, kwanza utaufanyia wapi? Na ndo maana wabunge wao wanapenda sana bara maana haluahalua si mchezo huku atiii.
   
 12. k

  kisukari JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2011
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,763
  Likes Received: 1,052
  Trophy Points: 280
  watu wa pemba wanafanya kwa siri sana,ila wenyewe wanajuana wenyewe kwa wenyewe.na kama ukijulikana umeathirika kuna unyanyapaa wa hali ya juu,ila kabla ya ndoa lazima uwakilishe cheti cha kipimo cha ukimwi kwa sheikh
   
 13. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #13
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Mkuu mimi nilifika huko, kila nikijitambulisha jina langu wakawa wananiita mnyamwezi na majina mengine mengi,na mbaya zaidi watoto wa kike hata nikiwasalimia wananchunia. Nikaona isiwe "inshu" nikajiita Makame na kuanza kujilazimisha lafudhi ya kipemba, basi baada ya muda mfupi kidogo kidogo nikaanza kuonekana mwenzao, ingawa sikufanikiwa kumtia kwenye kumi na nane zangu mtoto wa kipemba!!
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Feb 2, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135


  Kaka naona umepasua jibu!!!!!!!
   
 15. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #15
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaha!ungefanikiwaje nilivyokuwa nakutolea macho,,,lol!btw,,najua nna kesi but 4gven already,,haha
   
 16. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #16
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Hahahahaaa, una kesi nzito wewe sijui utamtoa wapi wakili.

  Nina wasiwasi na hiyo forgivenss, maana nimekuona kuleee unafundishwa kukataa forgiveness.

  Lakini kwa kuwa wewe ni mama wa busara na una utaratibu wa kupanda mlimani, huenda bado neno forgiveness ni valid kwako, tatizo ni kwamba nimejifunza kule kwamba nisisamehe kirahisi rahisi, sasa hapo ndo kazi ilipo!!

  anyway, tutayamaliza tu kimya kimya kama juma mchopanga.:coffee:
   
 17. M

  Marytina JF-Expert Member

  #17
  Feb 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kuna machalii wanafanya in TOUR OPERATOR flan hapa ARUSHA (husafiri btn zanzibar visiwa) waliwahi kuniambia kuwa PEMBA HAMNA UCHANGUDOA.

  Machalii wengine walikwenda kule kwa mradi wa maji (Water engeneers) waliniambia pemba hamna CHANGU ila kuna MALAYA WENGI among themselves.
   
 18. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #18
  Feb 2, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145

  Kwanza kabisa punguza spidi unapowatamka wahandisi(engineers) ili uende nao sambamba.

  Pili unasema malaya wengi among themselves? mbona sijakusoma kabisa unaweza ku-clarify tafadhali.
   
 19. M

  Marytina JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hapo kwenye red ninamaanisha kuwa as waislam wanaruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja wanawake wengi wamekuwa wakishiriki tendo na waume wa wengine au vijana wa nyumba jirani kukidhi haja zao.Wanacheat kwa majiran ili kurahisisha kitendo manake kule hamna vigesti bubu kama bongo pia wanaogopa kuonekana wakiingia kwenye hizo nyumba. By the way ni vigumu kwa wanaume wagen kuwapata hawa wapemba.
   
Loading...