Maisha ya peke yako

Hahahaaahaaaah!

BABY SUPRIIIIIIIIIIISE!,...lol!

Kumbe angejuaa unaokoa jahazi!, lakini kazi inakukuja kwenye kuchunga pochi, asije ingiza mkono kutafuta tissue akakutana na "TISSUE"..hehehe!
hahahahahaha nyie watu mmenichekesha sana
 
Pole kwa kuvurugwa! ila tambua wanaume wabaya ni wachache sana, wengi ni wema - usikate tamaa.
 
Pole kwa kuvurugwa! ila tambua wanaume wabaya ni wachache sana, wengi ni wema - usikate tamaa.
Asante sana hata huyo tulobreakup he was a gud husband material.sijasema wanaume ni wabaya mie
 
Mbio za sakafuni tu hizi!!
 
I'm single in the sense that I'm not in a committed rlshp which I enjoy.By the way kuwa in a rlshp hakujawah kunibughdhi.I have my own standards which I don't lower for the sake of a rlshp.Kwann ushindwe kuenjoy ur life cuz uko kwenye rlshp..yani how? Kuwa single ili Ku escape sjui missed calls n sjui uende anywea u want isn't the cure.Raise ur damn standards n Ull get the man.
Mi nlikuwa single form five cuz I wanted to build the foundation of my future bila distractions yoyote.I mean the good distractions.So yeah.Im very honest on wat I need in a rlshp so if that's not what I'm getting,I'll rather be single.Standard girls.
 
[emoji121]
WAZEE WA MIAMALA MNAKARIBISHWA KABISA HAPA!

HILI NI TANGAZO LA FREE MARKET ECONOMY.
[emoji121] [emoji121] [emoji121]
Yan we acha tuuu.duh[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ngastuka
 
iyo avatar ni yako mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…