Maisha ya Papa Francis

hizo picha wewe ndio ulikuwa cameraman!?

We mtoto si ulisema hutaki kujadili kitu na mimi sasa mbona unajileta bila mualiko?
Ngonja mfungo upite nikufunze nidhamu.
Staki kuharibu swaumu yangu kwa kiumbe km wewe!
Utaskia raha mwenyewe.
 

Hivi Yesu alipo mwambia Petro kuwa lolote utakalolifunga Duniani litakuwa limefungwa Mbinguni na lolote utakalolifungua Duniani litakuwa limefunguliwa Mbinguni,rejea Mathayo 16:19,Je Petro hakuwa Mwanadamu?Je Petro alikuwa Malaika?,Au basi jiulize mwenyewe badala ya kujivika blanketi la Ujinga ktk Yohane 20:22-23,Kwanini Yesu aliwapa mitume Uwezo wa kuondolea watu dhambi ili hali wao ni Wanadamu na wana mapungufu yao?,Tatizo lenu ninyi ni Uzuzu ndo unawasumbua sasa mimi nikienda kwa Papa au Askofu au Padre wangu nikaungama dhambi zangu wewe inakuuma nini?,Fuata yako bhana!,kila siku Midomo wazi kupiga umbea mambo yasiyowahusu.Mbona sisi habari za Wachungaji wenu kujifanya miungu hatuzisemi?Wapo wachungaji wanajiita Ma-transformer mbona hatuwasemi?,Wapo wanaojiita wazee wa kufufua watu cha ajabu watoto wanafia makanisani mwao,mbona hatuwasemi?,Wengine wamezaa na waumini wao mbona hatusemi?,Hivi bora yupi hapo,Anayefanya mambo kwa kufata Biblia au yule anayejitungia ya kwake?,Mkuu makinika sasa Kanisa Katoliki linaongozwa na Roho Mtakatifu,ndiyo maana halitakuja lianguke hata siku moja.
 
kwani unataka kusema papa hawezi kuwa anavuta bangi? ni wapi kwenye biblia wamesema ni dhambi kuvuta bangi?

Naendelea kuweka msimamo wangu,Papa hawezi kufanya hivyo kwasababu ni dhambi kufanya hivyo.
 

Ati nini?! Sasa hiyo title ya "Utakatifu" imeingiaje kwa mtu ambaye ni dhaifu kama mimi na wewe tu? Hivi ninyi watu huwa hamkumbuki pale Yesu Alipokataa kuitwa Mtakatifu na kusema "Hakuna Aliye Mtakatifu ila Baba Yetu wa Mbinguni"?
 

.
wazazi wao wangefanya hivyo hata wao kuzaliwa duniani waingezaliwa.
kumwabudu Mungu nje ya neno lake ni wendawazimu!
.
 
Sasa na Ile account twitter ni ya nani? Kama anawasaidizi wanao-control account hiyo iweje wapost habari kumhusu yeye bila yeye mwenyewe kuzipitia? Je ikitokea siku account Ile ikaenda tofauti na yeye ataikana? Kwa nini asizuie mitandao yote ya kijamii ambayo iko verified kupitia jina lake?

Ni hayo tu yanayonitia ukaakaa juu ya kauli yake ya kutotumia huduma ya mtandao.
 

Attachments

  • 1435759913108.jpg
    21.5 KB · Views: 100
Unataka kuwadhalilisha tu! Nawajua sana that will never happen to CLALANS, Hawa wengine inawezakana???? lakini nalo hilo sidhani, wakiwa wamevaa shela? Gauni za kawaida??????

una uwezo wa kusoma mioyo yao...?? moyo wa mtu kichaka ndugu. Kwa nje unaweza kumwona mtu very holy...lakini japo Mungu angekuonyesha moyo wake japo kwa one second.......uuuuwiiiiiii! ndo maana hata Yesu alisema kuna wana wa ufalme hawataurithi ufalme wa Mungu...., hapo alikuwa anaongelea watenda kazi wa BWANA wanafiki. BT wema pia watakuwepo bt hawawezi kuwa wote, maana siku zote penye msafara wa mamba kenge pia wapo
 

Kwa siku moja naweza, kwa sababu za msingi, Ila mara chache! kuh kufanya kama Pope kwamba nisideal na hivyo vitu milele! Ningeweza tu iwapo kama ndo ingekuwa ticket ya kwenda mbinguni!
 

We are together, kwa nje huwezi waona! This is my argument kuwa hawawezi kuvaa shela wakakaa counter kunya bia! Thus is my argument! Kwa ndani hatujui
 

oooh! kweli unayemjibu kakukera! ila vipi kuh wakatoliki wanavyoongea juu ya viongozi wa Kikristo wa madhehebu mengine?? kuna watu wanaongoza kwa kuponda na kudharau madhehebu mengine kama wa-RC? tena hasa huwa mnaonyesha chuki za wazi kwa wapentecoste! kila mchungaji wa kipentecoste nyie humwita tapeli, mwizi, akiwa na mafanikio mnamwita freemason! Kumbe mkigusiwa viongozi wenu mnaumia sana eeh! so nw umeona na wenzenu wanavyoumiaga? Mimi binafsi hakuna kitu kinanichefua kama kudharauliana viongozi wa dini...bt Catholics ndo mnaongoza...mkijiona nyie ndo Christians tu...wengn vibaka! jirekebisheni! Yesu aliacha ukristo na sio ukatoliki.

Issue sio ukatoliki, uprotestant, upentecoste....issue ni Yesu! so kila mtu amweshimu mwenzie.
 

Unauliza akina Martin Luther wako wapi! .... si hii Lutheran! kanisa lake linaendelea hadi leo na lina nguvu!...
 
Naendelea kuweka msimamo wangu,Papa hawezi kufanya hivyo kwasababu ni dhambi kufanya hivyo.

Jamaa anakuomba andiko linalosema kuvuta Bangi ni Dhambi.

Ya nini kuleta stori ndefu?
 

litakuja kuangushwa na Yesu.
 
papa gan anabariki mashoga ashndwe!

Teh teh teh.

Mwenzako anapiga promo. Unataka awalaani afukuzwe kazi?
Kumbe hujajua bado huu usanii wa hawa jamaa wewe.
Mzee anajilia pesa za bure, nyumba bure, bodyguards na chachandu zingine nyingi tu ikiwepo ndege ya binafsi. Bila kuasahau Umaarufu dunia nzima

Kwani yeye haogopi kuvikosa vyote hivyo?
Km issue ni USHOGA TU ahhh! Hilo wala halimpi Shida.
Anasema Hata Yesu aliwapenda watu wote.
Sasa sijui wakati Yesu yupo hawa MASHOGA na wao walikuwepo!?

I wonder kwanini anamsingizia Yesu kuwa alipenda kila mtu wakiwemo hawa MASHOGA.
 

Unaweza kunisaidia yake ni yapi tafadhali
 
Mambo yanayotendeka mjengoni kwao ni ya siri sana na ukiyafuatilia unaweza usiamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…