Nimeenda youtube niambulia wimbo mbayaNamna ya kuupandisha hapa siwezi...ila ukiingia u tube ..ukiandika moyo hawa nitarejea unautazama video nzuri
Nimeenda youtube niambulia wimbo mbayaNamna ya kuupandisha hapa siwezi...ila ukiingia u tube ..ukiandika moyo hawa nitarejea unautazama video nzuri
Wimbo umekaa kistaarabu.. zaidiNimeenda youtube niambulia wimbo mbaya
Ngoja waje wa kina k2gaBado Ali Kiba. Tumuombee nayeye apone stress arudi kwenye game.
Avatar hiyo mhhh
Kabisa.Amsimamie asirud maana kutoka kule sio kazi rahis..Mungu hamtupi mja wake..kanaimba vizuri sana..azidi kumsimamia asirude tena kule alipotoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli unadeserve kuwa hivyo
Kipindi huyo dada anafanyanae diamond ngoma ya " nenda kamwambie" teyali diamond alishaanza kupata umaarufu baada ya diamond kutoa ngoma ya nenda kamwambie yeye ndio alikuwa hajulikani na hakuwa amefanya ngoma yoyote hapo kabla.Nadhani alichanganyikiwa.. ukizingatia na hali aliyokuwa kuwa nayo kwa kipindi hicho....sasa hivi amechora tattoo ya diamond kifuani mwake
Nakubali mkuu.Kipindi huyo dada anafanyanae diamond ngoma ya " nenda kamwambie" teyali diamond alishaanza kupata umaarufu baada ya diamond kutoa ngoma ya nenda kamwambie yeye ndio alikuwa hajulikani na hakuwa amefanya ngoma yoyote hapo kabla.So alitakiwa Hawa achukulie hiyo ngoma Kama platform ya yeye kutoka kimziki kwa kufanya ngoma vingine za kwake wasanii wengi wametokea kwa njia Kama hii mfano mzuri Alikiba kwenye ile ngoma ya Abby skills " Maria" badala ya kudai kulipwa wakati hamkukubaliana kulipana angelijua Hilo sasa hivi angekuwa mbali kimziki.
Nimesha uona tayari Mkuu.Namna ya kuupandisha hapa siwezi...ila ukiingia u tube ..ukiandika moyo hawa nitarejea unautazama video nzuri
Huyo alikuwa na stress tuu za kuona Diamond amefanikiwa alaf akamuacha , hata Kama amgelipwa Kwa Pesa aliyotaka Kwa kpind hicho angepewa sh ngap na ingemfikisha wap.... Mi naamin alilipwa Ila kuona Diamond anaendelea na harakat zingine bila kumjali ndo kulikomuumizaSasa alikosea nini kusema ukweli kwamba hakulipwa? au ulitaka mwandishi akimuuliza ajibu ndio amelipwa ili ionekane hajalaumu India amekuja kupelekwa baadae
😂😂😂 Kuwa na adabu basiBado Ali Kiba. Tumuombee nayeye apone stress arudi kwenye game.
Nipe creditNimesha uona tayari Mkuu.
Nakubaliana na wewe 💯💯💯Huyo alikuwa na stress tuu za kuona Diamond amefanikiwa alaf akamuacha , hata Kama amgelipwa Kwa Pesa aliyotaka Kwa kpind hicho angepewa sh ngap na ingemfikisha wap.... Mi naamin alilipwa Ila kuona Diamond anaendelea na harakat zingine bila kumjali ndo kulikomuumiza
50-50Nipe credit
Inawezekana kweli hakumlipa napi yale maneno pia alioyasema ya madai ndio yamemsaidia kupush ndio maana akapata msaada.Amejifundisha nini kuhusu alipomlaumu Diamond kua hakulipwa chochote kwenye wimbo wa nitarejea kisha huyo huyo Diamond ndio akampeleka India kutibiwa?