Kuna wapuuzi Tanzania zaidi ya wanasiasa ?🙄🙄🙄 wanasiasa wa upinzani na wa chama tawala ndiyo wapuuzi....vyama vya upinzani tz tulivishauri sana ila avikusikia lro vina lia ...siku zote mpumbavu ujifunza kwa hasara na maumivu na uchungu mkubwa sanaKupambania wapuuzi ni upuuzi .
Sawa Mzee wanaolia ni familia yako na wewe ndio unaumia wabongo wanakusahau wanaEnjoy TikTok, Leo nani anamsemea Mdude ?
SayngayNgoja niwaite mods wathibitishe , nushakuripoti nasubiri maamuzi ya Mods.
Magayo umerudi tena na mavi umejipakaa kichwani?Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Inamaana hata juzi hapo hujamuangalia Captain akiongea? Mwanangu unataka nikuingize ignore hii nimekustahi ila ukiendelea hivi nakupunguza na ID zako zingine zote nazizuiawabongo wanakusahau mapema sana wanaEnjoy TikTok, Leo nani anamsemea Mdude na Ben Saanane ?
Huna akiliWajinga kama nyie hata huku jf muondoke tu, huna faida,
Unajaza watu upumbavu ulionao
Tena sana
Sawa ndondochaHuna akili
OkSawa ndondocha