Strategically issue ya 29 isha feliii ingawa impact yake watu wengi ambao ni wana uelewa hawataenda kupiga kuraaUnaludisha nyuma taifa, inatupasa na wewe tukurukishe kichurachura tarehe 29, Ambafu zako weye unadamu ya ccm kabisa halafu unaleta ujuaji...
Muda utaongea sikatagi tamaa kijinga namna hiyo.Strategically issue ya 29 isha feliii ingawa impact yake watu wengi ambao ni wana uelewa hawataenda kupiga kuraa
Upuuzi mtupu!Halafu we mayai akili zako zipo tumboni siyo kichwani kabisa, umeshiba makande mabichi nyumbani kwenu unakuja unapayuka hovyo tu hapa, sisi ndo tumesha sema tarehe 29 kinaumana, waje na bunduki waje na malungu tutawafunza adabu mwaka huu alaaa.
Hehehe uyo anaewajaza watu waandamane yuko marekani afu anakwambia uandamane ukivunjwa mguu watoto familia itakula niniUpuuzi mtupu!
Maandamano ya October 29 ni utani tu kwa jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama!.
Maandamano yenyewe haijulikani yamaanzia wapi hadi wapi!
Eti ukiamka asubuhi ukiona mtu mfuate tu mkaandamane!.
Je kama anaenda kazini kwake au anaenda kupiga kura?!
Mtu ukiamka asubuhi utatafautishaje nani yupo kwenye maandamano na nani anaenda kazini kwake na nani anaenda kupiga kura?!
Tangazo la maandamano ni utani kwa jeshi la polisi kuwachangamsha kwa kuwa na tahadhari za hapa na pale lakini watu wataandamana mitandaoni!
Zuchu unazingua. Mama yako Bi Khadija Kopa hana sifa ya uamiri jeshi mkuu! Taarabu/vichambo na jeshi, wapi na wapi!Tarehe 29 mtaishia kuandamana humuhumu mitandaoni!
Hakuna mtu atakaetoka barabarani kuandamana.
Rais na Amiri jeshi mkuu ameishasema kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo vipo chini yake vimeishamhakikishia kuwa vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi unafanyika katika mazingira ya amani!
Hakutakuwa na NYWINYWI wala NYWINYWINYWI!.
Akiri za kushikiwa nazo ni changamoto, kwahiyo ccm ndivyo mnavyo jifariji hivyo, kuhusu maandamano yanaanzia wapi na yanaishia wapi hukuona wakenya walianza vipi au unadhani walianzia nyumbani kwako, dar ni ndogo hii ila watu ni wengi tukisema tutoke kila mtu chumbani kwake hakuna haja ya kukutana sehemu moja, tunakiwasha kuanzia nilipo tunasnnga mahali kwenye mzuka zaidi...Upuuzi mtupu!
Maandamano ya October 29 ni utani tu kwa jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama!.
Maandamano yenyewe haijulikani yamaanzia wapi hadi wapi!
Eti ukiamka asubuhi ukiona mtu mfuate tu mkaandamane!.
Je kama anaenda kazini kwake au anaenda kupiga kura?!
Mtu ukiamka asubuhi utatafautishaje nani yupo kwenye maandamano na nani anaenda kazini kwake na nani anaenda kupiga kura?!
Tangazo la maandamano ni utani kwa jeshi la polisi kuwachangamsha kwa kuwa na tahadhari za hapa na pale lakini watu wataandamana mitandaoni!
Wewe takataka sana
Kweli kabisa. Ukipata ulaji we jilie tu kwa urefu wa kamba yako, wajinga hata wasikushughulishe.Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
Sawa Mzee wanaolia ni familia yako wabongo wanakusahau wanaEnjoy TikTok, Leo nani anamsemea Mdude ?Maboya mko wengi
Kupambania wapuuzi ni upuuzi .Kwa hiyo unawatisha watanganyika kuw wasipiganie haki yao
wabongo wanakusahau mapema sana wanaEnjoy TikTok, Leo nani anamsemea Mdude na Ben Saanane ?Umejuaje
Ndio uhalisia huoWabongo wahuni tu utawaona mitandaoni wanavokujaza na kukupa bichwa likikukuta lakukuta wanaufyata na kukucheka 😂 maisha haya bora utulie uchome kreti tu
Weka Ushahidi juu ya hilo Kisha tujadili
Rejea kichwa Cha Uzi .
Kujifanya wewe mpambanaji kupambania watu wasiojitambua ni kazi ya kiboya.
Wewe Kaa na familia tulia kula ugali dagaa maisha yaendelee .
SayngayWeka Ushahidi juu ya hilo Kisha tujadili