Maisha ya kujifanya Che Guevara bongo utaumia

Unaludisha nyuma taifa, inatupasa na wewe tukurukishe kichurachura tarehe 29, Ambafu zako weye unadamu ya ccm kabisa halafu unaleta ujuaji...
 
Hawa nyumbu ukijidai unawasemea utawaona mtandaoni wanakujazia comments na likes, subiri ukibananishwa uone kama utaona hata mmoja wote wanakimbia alafu wanaanza kukuchungulia kwa mbali huku zinaulizana unafanywa nini, hizi Nyumbu siyo za kuzisemea acha zile rungu hadi zichakae siku kipigo kikikolea zitatoa pembe zijitete zenyewe
 
Tarehe 29 mtaishia kuandamana humuhumu mitandaoni!
Hakuna mtu atakaetoka barabarani kuandamana.
Rais na Amiri jeshi mkuu ameishasema kwamba vyombo vya ulinzi na usalama ambavyo vipo chini yake vimeishamhakikishia kuwa vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi unafanyika katika mazingira ya amani!
Hakutakuwa na NYWINYWI wala NYWINYWINYWI!.
 
😄😄😄😄😄😄😄
Umenichekesha sana.
 
Halafu we mayai akili zako zipo tumboni siyo kichwani kabisa, umeshiba makande mabichi nyumbani kwenu unakuja unapayuka hovyo tu hapa, sisi ndo tumesha sema tarehe 29 kinaumana, waje na bunduki waje na malungu tutawafunza adabu mwaka huu alaaa.
 
Back
Top Bottom