ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
[h=3]Maisha ya sinema[/h]
Ha ha ha, he he he he he
This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.
Hayo ni maisha yetu ya kawaida kama binadamu
Kudanganya, kupuuza mambo nk, na siku zinaenda mbele.
umeonaeee, kuna professor wangu mmoja aliwahi kusema within 48 hours minimum of 100 words yanakua ya uongo in every complete man kama si kwa kutamka basi kwa kufikiri au kuona tu mtu anakua anajidanganya...lol
Yuko sahihi kabisa, siunaona amekaa ukingoni kabisa, hajakaa hapo penye mshale.
This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.
Mansion kwa Mtogole..!!!?? mdanganye Bishanga sio mimi
This spring si unakuja kunitembelea? Nimehamia kwa mtogole ndo kuna mansion ina parking all my 7 cars zinaenea.
atakuwa professor wa vyuo vya kataumeonaeee, kuna professor wangu mmoja aliwahi kusema within 48 hours minimum of 100 words yanakua ya uongo in every complete man kama si kwa kutamka basi kwa kufikiri au kuona tu mtu anakua anajidanganya...lol