Maisha ya kaburini ni marefu sana kuliko maisha ya duniani. Umewahi kuliwaza hili?

Hakuna mtu anayeishi kaburini wewe! Acha uongo. Mtu akifa, nafsi nayo hupotea ila roho hurudi kwa Mwenyezi. Huko sasa Mwenyezi ndio atakapoamua uende peponi au ahera. Mwili ulio kaburini unaoza na kuwa udongo.
Inamani yako na muandishi itakua tofauti,amini unacho amini.
 
Hakuna maisha kaburini.ni hifadhi ya mabaki ya mwili wako ambao utapitia hatua kwa hatua hadi kubaki mifupa tu.
 
Nadhani haina haja kufikiri juu ya mwili kukaa chini ya ardhi kwa miaka mingapi, kikubwa unakiri na kukubali kuwa Yesu ndo mwokozi wa maisha yako!?
 
Nijuavyo mimi, baada tu ya kufa na maisha yanaishia hapo. Sasa sijajua huko kaburini tutakwenda tena kuishi??
 
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka mingi wako kwenye tumbo la ardhi

Mtume Muhammad (S.A.W) Tangu afariki imepita takiribani miaka 2400 Yupo kwenye tumbo la ardhi

Je Mimi na wewe tutakaa kabulini kwa miaka mingapi? 2000? 50000? 10000? au million?
hakuna anayejua bahati mbaya elimu ya kiama ipo kwa mwenyezi mungu tu. Hakuna anayejua kiama kitakuwa lini. Yatupasa kufanya maandalizi ya kutosha miaka 50000 uko kaburini sio jambo la mchezo.

Na ukumbuke kuwa; kaburini hakuna TV, Sofa, Bufa, Kitanda, chipsi wala mitandao ya kijamii

Kaburi ni miongoni mwa nyumba za peponi kwa watu watakaokufa ilihali wamefaulu
katika maisha ya kumcha mungu. Kaburi ni miongoni wa mashimo ya moto wa jahanamu
kwa watakaokufa ilihali wamemkufuru mungu.

Kumbuka binadamu kabla hajafa akiwa kwenye hatua za mwisho za kutokwa roho huonyeshwa kwanza mahali anapoenda kufikia kama ni kwenye amani au kwenye mateso.

Mateso huanzia kaburini kwa watu waliomuasi Mungu na raha za peponi huanzia kaburini kwa waliofaulu.

Je Mimi na wewe tumejiandaaje na maisha ya kaburini????
Dunia isitupambaze maisha yasitupambaze hatujachelewa Tuanze kufanya maandalizi ya safari ya kuelekea kaburini.

ISHI UTAKAVYOISHI LAZIMA UTAKUFA HAIJARISHI UTAISHI MIAKA MINGAPI
NA TAMBUA MAISHA YA KABULINI NI MAREFU KULIKO YA DUNIANI...
Huu ni ukumbusho wangu kwenu nimefikisha naomba nanyi muwafikishie ndugu jamaa na marafiki ujumbe huu. na Mungu atawalipeni.

View attachment 686163
Msomi wa historia wewe... hivi kuna mtu hajui hili kweli?
 
Reasons for human burial
After death, a body will decay. Burial is not necessarily a public health requirement. Contrary to conventional wisdom, the WHO advises that only corpses carrying an infectious disease strictly require burial.

Human burial practices are the manifestation of the human desire to demonstrate "respect for the dead". Cultures vary in their mode of respect.

Some reasons follow:

  • Respect for the physical remains. If left lying on top of the ground, scavengers may eat the corpse, considered disrespectful to the deceased in many (but not all) cultures. In Tibet, Sky burials return the remains to the cycle of life and acknowledge the body as "food," a core tenet of some Buddhist practices, just as within Zoroastrianism, where burial and cremation were often seen as impure (as human remains are polluted, while the earth and fire are sacred).
  • Burial can be seen as an attempt to bring closure to the deceased's family and friends. Psychologists in some Western Judeo-Christian quarters, as well as the US funeral industry, claim that by interring a body away from plain view the pain of losing a loved one can be lessened.
  • Many cultures believe in an afterlife. Burial is sometimes believed to be a necessary step for an individual to reach the afterlife.
  • Many religions prescribe a particular way to live, which includes customs relating to disposal of the dead.
  • A decomposing body releases unpleasant gases related to decomposition. As such, burial is seen as a means of preventing smells from expanding into open air.
 
Lengo la adhabu ni kurekebisha...hiyo adhabu ya kaburini lengo lake ni nini?
 
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka mingi wako kwenye tumbo la ardhi

Mtume Muhammad (S.A.W) Tangu afariki imepita takiribani miaka 2400 Yupo kwenye tumbo la ardhi

Je Mimi na wewe tutakaa kabulini kwa miaka mingapi? 2000? 50000? 10000? au million?
hakuna anayejua bahati mbaya elimu ya kiama ipo kwa mwenyezi mungu tu. Hakuna anayejua kiama kitakuwa lini. Yatupasa kufanya maandalizi ya kutosha miaka 50000 uko kaburini sio jambo la mchezo.

Na ukumbuke kuwa; kaburini hakuna TV, Sofa, Bufa, Kitanda, chipsi wala mitandao ya kijamii

Kaburi ni miongoni mwa nyumba za peponi kwa watu watakaokufa ilihali wamefaulu
katika maisha ya kumcha mungu. Kaburi ni miongoni wa mashimo ya moto wa jahanamu
kwa watakaokufa ilihali wamemkufuru mungu.

Kumbuka binadamu kabla hajafa akiwa kwenye hatua za mwisho za kutokwa roho huonyeshwa kwanza mahali anapoenda kufikia kama ni kwenye amani au kwenye mateso.

Mateso huanzia kaburini kwa watu waliomuasi Mungu na raha za peponi huanzia kaburini kwa waliofaulu.

Je Mimi na wewe tumejiandaaje na maisha ya kaburini????
Dunia isitupambaze maisha yasitupambaze hatujachelewa Tuanze kufanya maandalizi ya safari ya kuelekea kaburini.

ISHI UTAKAVYOISHI LAZIMA UTAKUFA HAIJARISHI UTAISHI MIAKA MINGAPI
NA TAMBUA MAISHA YA KABULINI NI MAREFU KULIKO YA DUNIANI...
Huu ni ukumbusho wangu kwenu nimefikisha naomba nanyi muwafikishie ndugu jamaa na marafiki ujumbe huu. na Mungu atawalipeni.

View attachment 686163

There is life after death.. Re incarnation ...Stop worrying
 
Hakuna mtu anayeishi kaburini wewe! Acha uongo. Mtu akifa, nafsi nayo hupotea ila roho hurudi kwa Mwenyezi. Huko sasa Mwenyezi ndio atakapoamua uende peponi au ahera. Mwili ulio kaburini unaoza na kuwa udongo.
Yaani bora ukae kimya huna elimu ya dini kabisa
 
mi paka sasa nawaza hivi tupo duniani kwa kazi gani? make tunazaliwa tunaishi tunakufa. inaogopesha kweli ani. na kama tutaadhibiwa kweli kaburin bas itakua uonevu maana hatukuwa tunajua life after death.
 
kwan ngono ndo dhambi pekee! au hujafatilia amri 10? pumbaf
Ngono ni miongoni mwa mazambi, na kuna zambi ambazo mwanaadamu huwa anazitenda Kila Dakika,saa,au hata siku nayo ni kusengenya, kusengenya ni zambi kubwa mno japo watu wengi hawaifikirii kuwa ni zambi, pia kuna zambi nyingine ambayo inafanywa na wengi lkn hatujui uzitowake nayo ni husda, zambi hii ndiyo ya Kwanza kufanywa mbinguni na ya Kwanza kufanywa duniani, zipo nyingi mno la muhimu tujiandae na huko tuendapo
 
Hakuna mtu anayeishi kaburini wewe! Acha uongo. Mtu akifa, nafsi nayo hupotea ila roho hurudi kwa Mwenyezi. Huko sasa Mwenyezi ndio atakapoamua uende peponi au ahera. Mwili ulio kaburini unaoza na kuwa udongo.
hiyo NI kwa mujibu wa iman na din yako na si ambayo kila mtu anafuaata na kuiamini
 
Mtu ukileta story za kaburini kama unapajua ni kutudanganya.hakuna mwenye sili yoyote ya maisha baada ya kifo hata siku moja na inawezekana kabisa ya kwamba siku mtu ukifa ndo basi tena imetoka na wengine wanaendelea,au sana sana labda useme ukifa unazaliwa upya kwa namna nyingine kidogo inaweza ingia.lakini hii dhana ya kufa na kukuta maisha mengine huko kaburini,hakuna mtu amewahi kwenda na kurudi akathibitisha hayo ni kulishana vitu visivyo na uhakika.

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka mingi wako kwenye tumbo la ardhi

Mtume Muhammad (S.A.W) Tangu afariki imepita takiribani miaka 2400 Yupo kwenye tumbo la ardhi

Je Mimi na wewe tutakaa kabulini kwa miaka mingapi? 2000? 50000? 10000? au million?
hakuna anayejua bahati mbaya elimu ya kiama ipo kwa mwenyezi mungu tu. Hakuna anayejua kiama kitakuwa lini. Yatupasa kufanya maandalizi ya kutosha miaka 50000 uko kaburini sio jambo la mchezo.

Na ukumbuke kuwa; kaburini hakuna TV, Sofa, Bufa, Kitanda, chipsi wala mitandao ya kijamii

Kaburi ni miongoni mwa nyumba za peponi kwa watu watakaokufa ilihali wamefaulu
katika maisha ya kumcha mungu. Kaburi ni miongoni wa mashimo ya moto wa jahanamu
kwa watakaokufa ilihali wamemkufuru mungu.

Kumbuka binadamu kabla hajafa akiwa kwenye hatua za mwisho za kutokwa roho huonyeshwa kwanza mahali anapoenda kufikia kama ni kwenye amani au kwenye mateso.

Mateso huanzia kaburini kwa watu waliomuasi Mungu na raha za peponi huanzia kaburini kwa waliofaulu.

Je Mimi na wewe tumejiandaaje na maisha ya kaburini????
Dunia isitupambaze maisha yasitupambaze hatujachelewa Tuanze kufanya maandalizi ya safari ya kuelekea kaburini.

ISHI UTAKAVYOISHI LAZIMA UTAKUFA HAIJARISHI UTAISHI MIAKA MINGAPI
NA TAMBUA MAISHA YA KABULINI NI MAREFU KULIKO YA DUNIANI...
Huu ni ukumbusho wangu kwenu nimefikisha naomba nanyi muwafikishie ndugu jamaa na marafiki ujumbe huu. na Mungu atawalipeni.

View attachment 686163

Ahsante kwa ukumbusho mzuri ndugu. Hakika tujitafakari, kufanya yale yanayompendeza Mwenyezi Mungu. Dunia ni njia
 
Back
Top Bottom