Maisha ya kaburini ni marefu sana kuliko maisha ya duniani. Umewahi kuliwaza hili?

Ushawahi kuwaza maisha ya kabla hujazaliwa

Kifo humaanisha kurudi ulikotoka kabla ya maisha haya.
Fumbo '' Ulitoka kwa udongo na mavumbini utarudi" Kama ambavyo ulikuwa hujijui kabla ya kuumbwa na kuzaliwa, vivyo hivyo baada ya kufa. Mengine yote mbwembwe tu na kuwatia hofu watu hasa wasiochanganya za kuambiwa na zao.
 
Hakuna maisha kaburini maana kinachoishi ni kiumbe hai,labda hicho kinachoishi humo ni kiumbe hai na hiyo sehemu haitaitwa kaburi maana kitakuwemo kiumbe hai wkt ni hifadhi ya viumbe mfu.
Kama uliweza kuishi tumboni kwa mama miezi 9, hadi 10 basi kaburini pia kuna kuishi, na ukitaka kuamini kuwa kaburini kuna kuishi, fikiria miaka 100 iliyopita ulikuwa wapi. NB
MUNGU hakutuumba na kutuacha hvhv
 
Nimegundua kuwa kabla hujafa, unakuwa tayari umeshaunganishwa na wale waliotangulia;
hili nina uhakika nalo kwani wakati namuuguza mama akiwa bado anaongea alianza kuwaita ndugu zake
wawili ambao walishatangulia;

Ni mambo mengi, najuwa hapa hata nikisema nyie ni watoto sana hamtanielewa,

Ila inatakiwa tuishi maisha yakujuwa kuwa kuna siku tutaondoka katika maisha haya;

baada ya kusoma umegundua nini?
 
Kaka radika , kwani maisha ni nini?, maisha sio uhai?, kwani huko Kabirini kuko kama huku?, kama ni tofauti kwa nini tulafananisha Chungwa na embe?, nilidhani chungwa lingefananishwa na Limao au dalansi
Tumboni kwa mama uliishi vp
 
Ukifa unahama Galaxy naenda kuishi Galaxy nyingine wew kama ni mtenda maovu kule utajikuta umekuwa punda unabebeshwa mizigo au ng'ombe jua LA kwako mvua ya kwako ila kama utatenda mema ndani ya milk Galaxy basi ujuwe huko unaweza jikuta ni Barkharesa
 
Nimegundua kuwa kabla hujafa, unakuwa tayari umeshaunganishwa na wale waliotangulia;
hili nina uhakika nalo kwani wakati namuuguza mama akiwa bado anaongea alianza kuwaita ndugu zake
wawili ambao walishatangulia;

Ni mambo mengi, najuwa hapa hata nikisema nyie ni watoto sana hamtanielewa,

Ila inatakiwa tuishi maisha yakujuwa kuwa kuna siku tutaondoka katika maisha haya;
na je kabla mtu hajazaliwa ?
vipi kama kitoto kimezaliwa an kikafa kabla hata ya siku moja kinaunganishwa na kina nani?
anyway hii topic ni ngumu
 
Kama uliweza kuishi tumboni kwa mama miezi 9, hadi 10 basi kaburini pia kuna kuishi, na ukitaka kuamini kuwa kaburini kuna kuishi, fikiria miaka 100 iliyopita ulikuwa wapi. NB
MUNGU hakutuumba na kutuacha hvhv
swala dogo tu kuishi ni nini..? na kutokuishi ni nini..?
 
mshana jr, njoo huku mambo yamenielemea;
dada mamdenyi,, kama majibu yatakuwa from mshana point of view. siyakatai ila sipendi kuyaamini sana.
ninachootaka kukuambia kama utataka amini kama hutataka basi acha.
ni kuwa yaliyokuwa yanatokea kabla hujazaliwa ukishakufa hali itakuwa vile vile.
ulipokuwa kabla hujazaliwa ukishakufa utakwenda huko huko kama unapakumbuka . trust me or not.
mengine yote ni maanishi tu watu wanajaribu kuandika na kudanganya ili wauze vitabu na wapate pesa za kuishi. full stop
 
According to Science, The Sun has been existing for about 4 and a half billion years, it has burnt up about half of the hydrogen in its core. This leaves the Sun's life expectancy to 5 billion more years, at which time, the Sun's elements will "swell" up, swallow Earth, and eventually die off into a small white dwarf.
 
Nijuavyo mimi, hakuna maisha baada ya kifo
Yaani ukifa unakuwa non living organism ( kama jiwe tuseme)
Hauendi kuishi kaburini ,
Wafu hawajui neno lolote,
Uliwahi kufikiria mbwa wako aliyekufa au ng'ombe wako aliyekufa anaenda wapi? Anapotea, hayupo tena, mahali pake hapataonekana tena.
Ufumbuzi wa mauti ya kwanza
Uki mkiri Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yako
Anakupa tumaini lingine la kuishi baada ya kufa, kwamba atakaporudi mara ya pili , atakufufua ( utatoka katika hali ya ufu ( non living to living) kuwa mtu hai tena
Ila hautoendelea kuishi katika dunia hii, kutakuwa na nchi mpya.
Heri wafao katika bwana.
 
Hivi Ndugu zangu Wafrika mmeshawahi kufikiria nje ya hizi dini mbili mlizoletewa na watawala wenu!? Mmoja akawageuza watu Mwaaaaa miaka kadhaa na mwingine akaja akawatawala miaka na kuwatesa kufa na kuwanyanyasa lakini bado boxi la dini walizokuja nazo watesi wenu mnaziabudu.
India, imetawaliwa na mwingereza zaidi ya miaka 200 lakini there are quite few Christians. China, South Korea, Taiwan, Hong Kong the same...kwanini mtu mweusi ni mwepesi mnoooo kusahau asili yake na kumuamini na kumuabudu mtesi wake!? Are really humans...!?
Tuanzie hapo, mababu zetu dini zao zilikuwa zipi na zinaabudiwa kwa mfumo upi?
 
Back
Top Bottom