Maisha ya kaburini ni marefu sana kuliko maisha ya duniani. Umewahi kuliwaza hili?

Kama ingekuwa hiari yangu nisingezaliwa

yani hili fumbo tulilopewa ni gumu mno, bora tu tusinge exist kabisa maana tunashindwa kujua sababu kuu haswa ya kuishi duniani, tena bora kungekuwa na dini moja pekee hapo ningeamini zaid kweli tuna kazi maalum ila zipo dini milioni na zote zina mungu wake aseeh.
 
Allah Akbar.

Kakuna Siku ngumu na nzito kama Siku ya kwanza kabulini..kaburini hakuna taa hakuna jf wala Instagram hakuna vinywaji baridi wala chochote ni ww na malaika wako tu.

Munkal wannakil anakuuliza maswali mdomoni anatoka moto rungu aliliobeba hata tulibebee dunia nzima hakuna aneliwezaa mW mungu atupe hifadhi na mwisho mwema.
 
Leo ni mamilioni ya miaka yamepita Tangu binadamu wa kwanza alipofariki. Leo ni mamilioni ya miaka imepita Tangu nabii adamu na mkewe Hawa walipofariki. Ni mitume na manabii wengi imewapitia miaka mingi wako kwenye tumbo la ardhi

Mtume Muhammad (S.A.W) Tangu afariki imepita takiribani miaka 2400 Yupo kwenye tumbo la ardhi

Je Mimi na wewe tutakaa kabulini kwa miaka mingapi? 2000? 50000? 10000? au million?
hakuna anayejua bahati mbaya elimu ya kiama ipo kwa mwenyezi mungu tu. Hakuna anayejua kiama kitakuwa lini. Yatupasa kufanya maandalizi ya kutosha miaka 50000 uko kaburini sio jambo la mchezo.

Na ukumbuke kuwa; kaburini hakuna TV, Sofa, Bufa, Kitanda, chipsi wala mitandao ya kijamii

Kaburi ni miongoni mwa nyumba za peponi kwa watu watakaokufa ilihali wamefaulu
katika maisha ya kumcha mungu. Kaburi ni miongoni wa mashimo ya moto wa jahanamu
kwa watakaokufa ilihali wamemkufuru mungu.

Kumbuka binadamu kabla hajafa akiwa kwenye hatua za mwisho za kutokwa roho huonyeshwa kwanza mahali anapoenda kufikia kama ni kwenye amani au kwenye mateso.

Mateso huanzia kaburini kwa watu waliomuasi Mungu na raha za peponi huanzia kaburini kwa waliofaulu.

Je Mimi na wewe tumejiandaaje na maisha ya kaburini????
Dunia isitupambaze maisha yasitupambaze hatujachelewa Tuanze kufanya maandalizi ya safari ya kuelekea kaburini.

ISHI UTAKAVYOISHI LAZIMA UTAKUFA HAIJARISHI UTAISHI MIAKA MINGAPI
NA TAMBUA MAISHA YA KABULINI NI MAREFU KULIKO YA DUNIANI...
Huu ni ukumbusho wangu kwenu nimefikisha naomba nanyi muwafikishie ndugu jamaa na marafiki ujumbe huu. na Mungu atawalipeni.

View attachment 686163
Maisha ni uhai... so kaburini hakuna maisha.... kabla haujawa na uhai vitu vilivyotumika kukuunda wwe vimetokana na vyakula walivyokuwa wanakula wazazi wako. Kwahiyo ukifa unarudisha vitu hivyo ardhini ili viweze kutumika kwa wengine....(eco system)
 
Reasons for human burial
After death, a body will decay. Burial is not necessarily a public health requirement. Contrary to conventional wisdom, the WHO advises that only corpses carrying an infectious disease strictly require burial.

Human burial practices are the manifestation of the human desire to demonstrate "respect for the dead". Cultures vary in their mode of respect.

Some reasons follow:




    • Respect for the physical remains. If left lying on top of the ground, scavengers may eat the corpse, considered disrespectful to the deceased in many (but not all) cultures. In Tibet, Sky burials return the remains to the cycle of life and acknowledge the body as "food," a core tenet of some Buddhist practices, just as within Zoroastrianism, where burial and cremation were often seen as impure (as human remains are polluted, while the earth and fire are sacred).
    • Burial can be seen as an attempt to bring closure to the deceased's family and friends. Psychologists in some Western Judeo-Christian quarters, as well as the US funeral industry, claim that by interring a body away from plain view the pain of losing a loved one can be lessened.
    • Many cultures believe in an afterlife. Burial is sometimes believed to be a necessary step for an individual to reach the afterlife.
    • Many religions prescribe a particular way to live, which includes customs relating to disposal of the dead.
    • A decomposing body releases unpleasant gases related to decomposition. As such, burial is seen as a means of preventing smells from expanding into open air.

very true! hakuna maisha kaburini, ile ni sehemu ya kuhifadhi mwili tu ili kuepusha magonjwa.
 
Allah Akbar.

Kakuna Siku ngumu na nzito kama Siku ya kwanza kabulini..kaburini hakuna taa hakuna jf wala Instagram hakuna vinywaji baridi wala chochote ni ww na malaika wako tu.

Munkal wannakil anakuuliza maswali mdomoni anatoka moto rungu aliliobeba hata tulibebee dunia nzima hakuna aneliwezaa mW mungu atupe hifadhi na mwisho mwema.
Hahahahahahahahahaha..... Khaaa Duniani kweli kuna Mambo maaana so kwa Rungu hilo :D
 
Ingekuwa wakichimbua kaburi wanakuta mwili wako upo kama walivyoufukia ningeliogopa kaburi!..
Me siogopi kaburi naogopa roho inapoenda naamini haikai kaburini!..
 
Ongera Mkuu umeshafikisha kilichobaki ni kuingia kwenye suala zima la utekelezaji kwa msemaji na hadhira yake

Jazakallahu Khairan
 
mi paka sasa nawaza hivi tupo duniani kwa kazi gani? make tunazaliwa tunaishi tunakufa. inaogopesha kweli ani. na kama tutaadhibiwa kweli kaburin bas itakua uonevu maana hatukuwa tunajua life after death.
Hayo ni masimulizi feki mkuu.... hivi jiulize wakati zinatolewa amri kumi... je watu waliopo duniani walikuwa ni mashariki ya kati tu, kama sio hivyo wakati watu hao wanaambiwa wasiibe, wasizini n.k. je wale waliokuwa america ya kusini nani alikuwa akiwaambia wasifanye matendo hayo????.... (hauoni hapa hapakuwa na usawa) wanaamrishwa watu wa eneo A wakati wale wa eneo B wanafanya yale yale..... hizi dini zimeweza kuenea ulimwengu mzima siku za karibuni ina maana kabla hazijasambaa kiasi kikubwa vizazi vile vulikuwa vinaendelea na utaratibu wao.....

Mbinu ya kuifikisha dini kwa watu wengi inaonyesha dhahiri ina udhaifu kuwafikia watu hao kwa mara moja na haifanani na nguvu inayosemwa.
 
Allah Akbar.

Kakuna Siku ngumu na nzito kama Siku ya kwanza kabulini..kaburini hakuna taa hakuna jf wala Instagram hakuna vinywaji baridi wala chochote ni ww na malaika wako tu.

Munkal wannakil anakuuliza maswali mdomoni anatoka moto rungu aliliobeba hata tulibebee dunia nzima hakuna aneliwezaa mW mungu atupe hifadhi na mwisho mwema.
Hahahaahha
 
Biblia inafundisha mtu akifa ni sawa analala usingizi mzito hana hisia zozote na mawazo yake yamepotea na kwenye kabur hakuna mateso, haendi popote ni kana Kwamba hajupo tena...
lakini dini nyingi zinafundisha uongo kwamba mtu anaendelea kuishi akiwa na kumbukumbu zilezil(ubongo huoza kila kitu hupotea) na niwazi moto wa mateso haupo na fundisho Hilo halimletei Mungu heshima Bali linamshushia Mungu heshima
 
Back
Top Bottom