Maisha ya Arusha sio

Nimecheka sana...eti wenyeji wa huko wote wanajuana

Kiukweli binafsi naiogopa sana arusha licha ya utetez mwingi unaotolewa hapa
 
Great thinker wa kujisifia uhuni na ukorofi wa chuga,.. Acha upopompo wa Arusha wewe,.. Great thinker uwe wewe,..!? Pambaffff
Ndo maana nikakwambia hujaelewa chochote hapo,kwanza una miaka mingapi ?

Hapo bado hujajua mitaa ya wahalifu wanaishi watu wa aina gani,ndo utashangaa zaidi.
 
Ndo maana nikakwambia hujaelewa chochote hapo,kwanza una miaka mingapi ?

Hapo bado hujajua mitaa ya wahalifu wanaishi watu wa aina gani,ndo utashangaa zaidi.
Mtu anaekula chips yai sio wa kubishana nae jombaa, bishana na mwanaume wa Chuganistan anaekunywa damu ya kondoo, sio hao mashost wala viepe
 
Nimecheka sana...eti wenyeji wa huko wote wanajuana

Kiukweli binafsi naiogopa sana arusha licha ya utetez mwingi unaotolewa hapa
Mi mwenyewe naishi huku lakini watu wa huku nawaogopa mbaya kabisa,
Watu wanakunywa damu za kondoo mbichi sio wa kucheza nao jombaa
 
Ndo maana nikakwambia hujaelewa chochote hapo,kwanza una miaka mingapi ?

Hapo bado hujajua mitaa ya wahalifu wanaishi watu wa aina gani,ndo utashangaa zaidi.
Ukishakuwa wa Arusha, akili yako ni mibangi bangi tu.. Kalale chalii,.. Ushakula bangi ya kikatiti...
 
Arusha ni jiji baya na hatari kabisa, lakini ni ungumu wa maisha na pia wengi wamekata tamaa na maisha.ningtaka kusikia kuhusu miji 3 muhimu, mwanza, kigoma, na iringa na pia morogoro, vipi maisha huko, aliye na taarifa
 
Mkuuu sing'isi kitaa chetu ni sehemu salama sana kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…