Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

JF VAR CHECK


Mawazo ya kujiua hayanitok napat faraja kidog ila i feel so depressed
 
Mimi pilato nimenawa😊☺️ SITAKI Ushahidi mie.

Nikikumbuka jamaa alie jirusha kwenye gari semi trailer ubungo kijazii Roho inasisimkaa

Dogo aache UJINGA aseme tatizo lake anaweza PATA msaada humu kuliko kijiua
Mimi nazani ni masihara tu.japo matatizo ya akili ndipo yanapoanziaga,ila kama ni kweli ni vyema aanze dosage au awafuatilie watu kama nyingi ili mumpatie ushauri nasaha kwa sababu sizani kama ni sawa kuchapisha upumbavu kama huu.
 
Nimejaribu mbinu nyingi ya kujiangamiza ila nashindwa kwa nin sifi niondokee matatizo Kila nikijarib nafel
Ninachotaka kukuambia.
Uko weak sana. Ww ni mwanaume dhaifu.
Na udhaifu wako ndio unakufanya ukose nguvu za Kiume na matatizo mengi yatakukumba.

Hebu Kuwa jasiri. Acha uoga.
Usikae mwenyewe maana utakuwa mpweke ukaanza kuwaza haya mawazo ya kijinga,
Hebu toka ndan nenda katafute msaada nje,
Pia kuwa busy. Fanya lililo ndan ya uwezo wako. Usijipe stress kwa jambo usiloliweza kwa sasa. Pambana na lipe muda jambo lolote.

Ushasema Kujiua is not an option. Sasa kwanini unajiua?.
 
Dunia hii tunaishi muda mfupi mno so huna sababu ya kujidhuru we kaa kwa kutulia muda utafika tu. Changamoto unazopotia kila mtu anapitia kwa namna yake hata Ellon Musk tilionea wa kwanza duniani naye Kuna changamoto lukuki anapitia so relax bro life is too short.
 
Anayetaka kujiua hua hatangazi acha kutafuta kiki kwa issue za kijinga kijana,
Huu ni uzi wa ngapi unaongelea hii issue?
Anayetaka kujiua anaweza kujitangaza kama hivi kama njia ya kutapa tapa ama kutafuta faraja

Mpauko na yeye alianza hivi hivi baadae tukampoteza

Huyu kama anatafuta kiki ni yeye anajua zaidi,cha muhimu hatuombi hela
 
Mbona simple tu unataka kufa? Upo dar? Kama upo dar beba bango kubwa linalohamasisha maandanamano. Katiza nalo pale magogoni. Rip
 
Siwez sema najua ntakejeliw na kuonwa pumbavu
Unaogopa kukejeliwa ila hauogopi kufa!?hii haiwezekani,kifo ndiyo kipimo Cha mwisho Cha uoga,mtu asiyeogopa kufa hawezi kuogopa kejeli🤔,SEMA UNA SHIDA GANI?UTASAIDIWA KWA HALI NA MALI!

Muda mwingine kejeli huwa na mafunzo ndani yake
 
Enjoy Ngoma Hiyo...Ulie Kwanzaa Kabla Mauti Hayajakufika.....
 
Mtu anaamua kufungua thread mbili tatu akisema issue ile ile. Ni wazi kuna kiu cha kujiua kimeshaanza kufanya kazi ndani yake na hizo threads ni cry for help

Watu mnaamua kucomment upumbavu kwa sababu mnajiona mashujaa. Si kila mtu ana nguvu ya kustahimili matatizo kama nyinyi, kama umeshindwa kumshauri mtu kitu. Kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini
 
Anayetaka kujiua anaweza kujitangaza kama hivi kama njia ya kutapa tapa ama kutafuta faraja

Mpauko na yeye alianza hivi hivi baadae tukampoteza

Huyu kama anatafuta kiki ni yeye anajua zaidi,cha muhimu hatuombi hela
Hii ndio sababu watu wenye matatizo , watafungua ID mpya ili wapost au wataamua kukaa kimya.

Maxence Melo angefikiria kuanzisha ananymous forum ambapo watu wanaweza share issue zao. Si vizuri mtu anatoa issue yake hadi anafikiria kujiua na wao wapo tu
 
Back
Top Bottom