Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Aviator hiyo๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Aza upya kubali umepoteza,waeleze watu wako wa karibu ukweli.

Hayo madeni utalipa taratibu tu
Unatoa Siri sasa๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
95% pia nahisi hivyo,sasa hivi huyu ndio adui wa vijana.
 
Mtu anaamua kufungua thread mbili tatu akisema issue ile ile. Ni wazi kuna kiu cha kujiua kimeshaanza kufanya kazi ndani yake na hizo threads ni cry for help

Watu mnaamua kucomment upumbavu kwa sababu mnajiona mashujaa. Si kila mtu ana nguvu ya kustahimili matatizo kama nyinyi, kama umeshindwa kumshauri mtu kitu. Kwani ukikaa kimya unapungukiwa nini
Umesema vema mkuu
 
weka neno la faraja kwa huyu ndugu iwe kweli au utani kuna mtu litamponya na kumfaaa na kumpa nguvu ya kuendelea sasa mtu una comment ushenzi can you live with your stupidity in your brain sio lazima ku comment especial kwa topics kama izi kama una neno la faraja na lenye kuponya
 
Acha kutafuta validation & attention...unaweza kuzuia Hilo maana hata ukijiua bado hujaondoa Tatizo, je ukifa unajua unapokwenda?, Bora sasa hv unajua ulipo na uwezo wa kutoka hapo ulipo unao, get up, kick your ass...Ukweli ni kwamba hakuna atakaye kuja kukusaidia, jiamini na kuwa mvumilivu, ifike mahali usijishindanishe na mtu.
 
  • Thanks
Reactions: Nus
Siwez sema najua ntakejeliw na kuonwa pumbavu
Sema ukweli hakuna anae kujua watu wazurii wapo humu.

Ukiitaji msaada wangu Mimi najitoa bureeeee Ntakufunza uone thamani ya UHAI

Najua psychology Yako siku moja TU hayo mawazo yanaondoka

Tafuta hata IDs ingine funguka utapata msaada humu JF cream ya watu wenye akili TANZANIA IPO NAKWAMBIA UTAPATA MSAADA

SAVE THE DATE
 
Mimi nazani ni masihara tu.japo matatizo ya akili ndipo yanapoanziaga,ila kama ni kweli ni vyema aanze dosage au awafuatilie watu kama nyingi ili mumpatie ushauri nasaha kwa sababu sizani kama ni sawa kuchapisha upumbavu kama huu.
Watu Wana Anza ivii ivii, mimi still sujarud kazini, msiba wa baba umenibadilisha nimepoteza hamu ya kazii

Hapa nipo nakunywa konyagiiii, sina hamu ya Kila kitu.

Ila Mimi ni brave naweza ishii na hisia mbaya na Huwa natoboa
 
Kumbe๐Ÿ˜,basi anajichosha.

Siku akiwa siriazi atakuja na ID mpya.
Maisha ni yake na maamuzi ni yake,Dunia ya leo haihitaji kutafuta huruma au kutia huruma,

Dunia ni uwanja wa mapambano,kila mtu ana shida zake na anapambana nazo,

Matatizo hayakimbiwi bali hukabiliwa kwa nguvu zote na kwa moyo wa ujasiri,

Matatizo yapo ili kumpa funzo Binadamu.
 
Maisha ni yake na maamuzi ni yake,Dunia ya leo haihitaji kutafuta huruma au kutia huruma,

Dumia ni uwanja wa mapambano,kila mtu ana shida zake na anapambana nazo,

Matatizo hayakimbiwi bali hukabiliwa kwa nguvu zote na kwa moyo wa ujasiri,

Matatizo yapo ili kumpa funzo Binadamu.
Kweli usemalo,Kila mmoja na shida zake
 
Akitaka kujiua apige hata konyagiiii ndogo then ajirushe kwenye mwendokasi au gari ikiwa kwenye speed ahakikishe ime mpanda kwa juu
Hawa vijana wanatumia hizi social media vibaya,ipo siku atakuja mtu mwinginr na shida ya kweli na watu watamuignore coz ya hawa wanaoleta utani kwenye issue inayohusu uhai wa Binadamu,

Hakuna kitu chenye thamani zaidi ya uhai.
 
Hii ndio sababu watu wenye matatizo , watafungua ID mpya ili wapost au wataamua kukaa kimya.

Maxence Melo angefikiria kuanzisha ananymous forum ambapo watu wanaweza share issue zao. Si vizuri mtu anatoa issue yake hadi anafikiria kujiua na wao wapo tu

Na ubaya wa haya mambo baadae mtu anakuja kufanya kweli(kujiua) watu tunabaki na masikitiko

Bahati mbaya zaidi ukileta jambo jukwaani regardless ni zuri ama baya,wapo/tupo watakaotokea na mawazo negative....huu ndio uhalisia wa maisha na sidhani kama Max anaweza kusaidia sana kuhusu hili
 
๐”๐ฆ๐ž๐ฃ๐š๐ซ๐ข๐›๐ฎ ๐ค๐ฎ๐ฃ๐ข๐ซ๐ฎ๐ฌ๐ก๐š ๐ค๐ฎ๐ญ๐จ๐ค๐š ๐ ๐ก๐จ๐ซ๐จ๐Ÿ๐š๐ง๐ข ๐ฆ๐ค๐ฎ๐ฎ?
 
Back
Top Bottom