Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,762
- 43,332
Kwelii Mimi nimepitia hizi mamboHawa vijana wanatumia hizi social media vibaya,ipo siku atakuja mtu mwinginr na shida ya kweli na watu watamuignore coz ya hawa wanaoleta utani kwenye issue inayohusu uhai wa Binadamu,
Hakuna kitu chenye thamani zaidi ya uhai.