Janvansina
Member
- Nov 5, 2025
- 63
- 69
Nasubiri na mimi baba afe nione je nitakuwa kama wewe?Watu Wana Anza ivii ivii, mimi still sujarud kazini, msiba wa baba umenibadilisha nimepoteza hamu ya kazii
Hapa nipo nakunywa konyagiiii, sina hamu ya Kila kitu.
Ila Mimi ni brave naweza ishii na hisia mbaya na Huwa natoboa
BondNasubiri na mimi baba afe nione je nitakuwa kama wewe?
Mkuu ache afe kwan maisha ya kwakeusikate tamaa kirahisi hivyo mkuu, mbona umeshauriwa sana .