Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Kama ulisoma,na masomo hayajakusaidia basi wewe ni moumbavu,...ulivjosomwa ndicho unatakiwa kukifayilia utanishukuru,usije jinyonga ndugu.
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.

Huko ahera unapotaka kwenda ni wapi?
 
ID yako nyingine ni ipi? Maana umejiunga May tu hapo.
 
Maisha sio rahisi hasa ukiwa Huna pa kushika, Anza ulipo...kama unajijua Huna pa kushika tafuta namna ya Ku survive Kwanza, hakuna mtu atakayekuja kukusaidia, kama chini tafakari, kama kweli unataka kupiga hatua basi ukiamua utafanikiwa...wengi wetu tumetoka kwenye Hali za kawaida baada ya mambo mengi kutukumba maishani, kama kweli wengine tukiamua kushare Stori zetu humu basi utaogopa na kupata hofu zaidi Kwani mapicha ni ya kutisha Sanaa...Utajua cha kufanya kama kweli ww ni mwanaume, sawa?
 
Kwenye maisha hupaswi kujikatia tamaa ni lazma moyo wako uaminishe kuwa mbele Yako Kuna mafanikio juu Yako wew unapitia mambo madogo tuuh unaanza kukata tamaa pole mkuu
Kaa tafakari wapi kweny changamoto na nn ufanye kutatua wanaume tumeumbiwa kazi Kisha tunapata majawabu
Au hujafanya zile hesabu za swali,kazi,jibu mkuu ????
 
Huo upumbavu usifanye kbs nakujiuwa siyo sifa. Umesema wewe ni mtoto pekee umeshawaza mama yako akipitq kuaga maiti atakuwaje?
Acha kbs nenda katembelee makaburini uone wale watu waliolala km wanaongea tena na kujiona wa maana km wewe ulivyo mzima acha huo ujinga bwana.
Usifanye hivyo mxiiiuu hayo unatoandika hapa kamwambie mama yako na Baba yako uone watakavyohuzunika.
Huna huruma wewe kijana kbs kwa wazee wako.
Kila mzazi anapenda azikwe na mtoto wake na siyo mtoto atangulie acha bwana km ulikuwa unajifurahisha umetukosea sisi na wazazi wako pia.
 
Kama kuna niliyemkosea JF naomba msamaha nikienda niende na aman
Pole sana rafiki yangu usifanye hivyo maisha ni kama mvua itakunyeshea utalowa chepe chepe lakin utakauka tu
Ndo matatizo sasa yanakuwepo mengi sana lakini huisha tu menyewe kama alinyeshewa mvua anavyokaauka

Nishawahigi kufikia uamuzi wa kufa lakin MUNGU alinikiokoa

Waliojiuwa mpaka mda huu najuta sana hivyo nakuomba usifanye hivyo ndugu yangu, ukifanya hivyo utanikosea sana

Ngoja nikupe mfano Kuna vijana kama akina min -me wanafanya kazi za kutosha vyombo kwa mama ntilie huko posta na hawana kabisa mpango wa kujiua iweje wewe uwaze hivyo

Acha mawazo hayo
 
Kabla ya kufanya hivyo kapitie zile page za wale vijana wa kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu, Ukiona umasikini na taabu vinavyoonekana lakini vijana wanavyoonesha kujikubali na kutamba kwa kidogo walichonacho utagundua wewe geti kali tu.
 
Maisha tusiyachukulie serious. Kila kitu kinapita.
 
Mkuu kuitoa CCM madarakani haitomhakikishia kijana fursa kama huyo kijana mwenyewe hataamua kufungua macho na kuziona fursa. Mimi nimeishi Kenya na Zambia ambako kunatajwa kama sehemu zenye demokrasia ya hali ya juu ila cha kushangaza fursa ni chache kuliko Tanzania. Vijana wa huko wana maisha magumu zaidi. Hawa viongozi wa upinzania wanachopigania ni wao kuingia madarakani na kufakamia keki ya taifa kama ambavyo wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa sasa. Ninakushauri endelea kuiunga mkono CCM na sera zake huku ukipiga vita baadhi ya viongozi wake ambao hukengeuka.
Mkuu nimekuwa huko nimeishi CCM lakn ukwel.mchungu.comrede CCM n chama kizur.lakn viongoz hawana mpango na wananch ukwel.kuna urafi mwingi ambao ninyi vijana ambao mpo.nje wa mfumo.wa.ndan hamuwez.jua.hata kidogo niamin mimi.mkuu.ipo.siku.ukwel.utaujua.
Kubadilisha serikal.huleta.uwajibikaj.nd kufanya viongoz wawaze.namna ya kutatua matatizo

Chama.kimoja.kikikaa.kwa.mda.mrefu.madarakani hujimilikisha.dola.na hutumia hila.kubak.madarakan hasa vyombo vya ulinz nasheria.
 
Mkuu mimi niliamua kwa hiari yangu kuwa mwanachama wa kawaida baada ya kugundua wanasiasa baadhi wa CCM na upinzani hawaguswi na lolote kuhusu mwananchi. Nikaona bora tu niwe mwanachama wa kawaida na kusapoti chama mtandaoni na nje ya vikao rasmi. Mabadiliko hayawezi kuletwa na vyama vilivyopo kwa sasa. Labda CCM ivunjike kije chama kingine kipya na sio hawa CHADEMA waliojivika ukondoo kumbe ni mbwa mwitu.
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Kwenye ule Uzi wako wa nyeto nilikwambia vijana wa namna yenu mna mchango mdogo sana katika ujenzi wa taifa ukaniuliza kwa nini

Nadhani jibu ni huu Uzi wako Sasa

Nilijua tu unapitia mental health problems

Wakikuwahi utapona, acha kuangalia porno acha kupiga nyeto, ubongo wako umebunguliwa na hvyo vitu
 
Pole sana rafiki yangu usifanye hivyo maisha ni kama mvua itakunyeshea utalowa chepe chepe lakin utakauka tu
Ndo matatizo sasa yanakuwepo mengi sana lakini huisha tu menyewe kama alinyeshewa mvua anavyokaauka

Nishawahigi kufikia uamuzi wa kufa lakin MUNGU alinikiokoa

Waliojiuwa mpaka mda huu najuta sana hivyo nakuomba usifanye hivyo ndugu yangu, ukifanya hivyo utanikosea sana

Ngoja nikupe mfano Kuna vijana kama akina min -me wanafanya kazi za kutosha vyombo kwa mama ntilie huko posta na hawana kabisa mpango wa kujiua iweje wewe uwaze hivyo

Acha mawazo hayo
Naunga mkono mkono hoja kijana aache upumbavu
 
Back
Top Bottom