Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,372
- 7,983
We all embrace death.
Death is only destination we all share.
Death is only destination we all share.
Na bado Kuna watu walemavu wanajigalagaza mjini wapate hela ya kula na kulala tuHivi hakuna option nyingine zaidi ya kujiua mkuu? Huku mtaani kuna vizee vina mapengo vinauza kahawa asubuhi na vinasomesha
Attention inatafutwa.HIZI ZOTE THREAD ZAKO ZA LEO
View attachment 3610709View attachment 3610710View attachment 3610711View attachment 3610712
Ungesubiri kidogo hiyo mbususu tuichakate kwanza ndo uende..Tuko pamoja mkuu hata mimi kifo nakitamani
Hiyo nguvu ya kunyetuka na madeni aliyonayo anaitoa wapi?Akipiga nyeto goli moja tu akili itatulia.
Safi.sana mkuu umempa.ushaur.mzuri.sanaPole sana ndugu. Ninakuelewa sana hasa hapo kwenye madeni. Hii hali ilishanitokea mwaka 2012 nikaona dunia ipo mabegani mwangu. Nilienda kwa mganga nikaishia kupoteza hela na kutofanikiwa kabisa. Nakumbuka niliishia kugombana na mganga. Nikajaribu kwa mama fulani mchungaji wa kilokole naye tukashindwana kwa sababu hata kile kidogo nilichokuwa napata anataka nimpe kama sadaka na mbaya zaidi alitaka nitoe mchango wa pesa mingi kununua vifaa vya muziki vya kanisa lake. Kwa upande wangu kilichonisaidia ni kuhamia DSM na kuanza kujitafuta from the scratch. Nilikuwa winga Kkoo kwa miaka miwili hadi pale nilipopata unafuu wa maisha.
Kuhusu madeni kaa chini na wanaokudai uwaeleze hali halisi uliyo nayo na kwaomba wakupe muda zaidi. Huenda pia kuna wanaoweza kukusamehe deni. Ila jitahidi uepuke madeni mapya. Kama wewe ni mwanaume jichanganye mtaani piga kazi yoyote ya halali ili mradi mkono uende kinywani. Vibarua vya ujenzi, kilimo na yoyote ile inayopatikana piga. Ukiwa Dar nenda Kkoo asubuhi kama mfanyakazi utapata dili kule.
Kutaka kujiua sio sahihi. Jipe muda kwanza. Kuwa mvumilivu.
Yeye kama anataka kufa afe tu.Kesho akija na uzi kuwa ana maisha mazuri ya raha wakimuuliza kuhusu huu uzi aseme akitania tu
Lipa kwanza madeni ndo uende. Hii ndo utaenda kwa amani zaidiKama kuna niliyemkosea JF naomba msamaha nikienda niende na aman
Acha uhuni wewe,lipa Madeni😂😂😂😂Kama kuna niliyemkosea JF naomba msamaha nikienda niende na aman
Nafikiri ushauri ameshapata wa kutosha kama ni wa kuelewa ataufanyia kaziYeye kama anataka kufa afe tu.
Mkuu kuitoa CCM madarakani haitomhakikishia kijana fursa kama huyo kijana mwenyewe hataamua kufungua macho na kuziona fursa. Mimi nimeishi Kenya na Zambia ambako kunatajwa kama sehemu zenye demokrasia ya hali ya juu ila cha kushangaza fursa ni chache kuliko Tanzania. Vijana wa huko wana maisha magumu zaidi. Hawa viongozi wa upinzania wanachopigania ni wao kuingia madarakani na kufakamia keki ya taifa kama ambavyo wamekuwa wakiwatuhumu viongozi wa sasa. Ninakushauri endelea kuiunga mkono CCM na sera zake huku ukipiga vita baadhi ya viongozi wake ambao hukengeuka.Safi.sana mkuu umempa.ushaur.mzuri.sana
Nje ya mada mkuu.si njoo huku tujiunge kimtoa mkolon mweus.il vijana kama hawa tuwatengenezee fursa MBALIMBALI.kupunguza.vjna wasio na ajira maana serikal tawala imeshindwa kutatua tatizo.la ajira
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.