Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Umeghairi kujiua kwajili ya mapenzi Mzee.?
 
Ila huyu kuna uzi alisema kuna demu anamtamani halafu jana akaja na uzi eti yeye katika maisha yake hajawahi kutamani wanawake alipoulizwa kuhusu uzi wake wa nyuma akasema alikuwa anachangamsha genge tu

Sasa utamuamini vipi kirahisi mtu kama huyo?
Ogopa sana watu wanao anzisha nyuzi kila saa, wengi wanatafuta kuzingatiwa .
Pia bado hawajawa matured.

Unadhani watu wote million 60 Tanzania tupo comfort zone?
Mbona kesi za kujiua hazipo.
 
Maisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.

Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.

Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
HIZI ZOTE THREAD ZAKO ZA LEO
Screenshot_20260618_205714_Chrome.jpg
Screenshot_20260618_205644_Chrome.jpg
Screenshot_20260618_205258_Chrome.jpg
Screenshot_20260618_205624_Chrome.jpg
 
Back
Top Bottom