Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,962
- 54,074
Maisha ni vita twapaswa kupambana, madeni isiwe sababu yako kudhulumu uhai wako. Serikali inayosimamia vitu vyote bado madeni yapo sembuse wewe. Jikaze kiume
Wenyewe wanaleta utanidaah yaani unajua ilisha tokea ila bado hutak amini ko akijiua utasema nini tena
😆😆😆😆Kama una muda nicheki DM tukajinyonge
Kama ni utani...mauti yatamtafuta kweli.sa huu ndo utani gani
madako yako wew mleta mada
Kama ni utani...mauti yatamtafuta kwelisa huu ndo utani gani
madako yako wew mleta mada
Pamoja ❤Nimekupata mkuu
Ila huyu kuna uzi alisema kuna demu anamtamani halafu jana akaja na uzi eti yeye katika maisha yake hajawahi kutamani wanawake alipoulizwa kuhusu uzi wake wa nyuma akasema alikuwa anachangamsha genge tudaah yaani unajua ilisha tokea ila bado hutak amini ko akijiua utasema nini tena
Dah walah😂ooh mpenz,calm down please
Kudai wewe sio wa kwanza mkuu. Na ugumu wa maisha wewe sio kwanza, unaweza toka mavumbini na hali yako ya maisha ya sasa ikawa kama darasa. Ugumu na hali za maisha kila mtu amepitia kwa namna yake na wengone wanapitia magumu kuliko wewe ila hatusemi tunaendelea na juhudi madeni kila kona ila siku neema ikiwapo yanalipwa. Usikate temaa usiwaze kuangamiza nafsi yakoMaisha yangu yalipo nikama yamenikalia. Nimesoma ila masomo hayajanisaidia.nina maden kibao atamengin sijalipa.
Na tena mimi tuh ndio mtoto wa pekee kwetu nyumbani.baba na mama wote waniangalia. kiujumla nmechoka ata sion faida ya kuishi bora niendee zangu kaburin nikapumzike.
Maisha kwang ni machung sio matamu.saiv nafikiria ni mbinu gani ntakayo tumia nifike ahera mapema.
Stupid you mleta mada Seleina Tikili Kumbe unatuchezea?Kama umemfuatilia siku mbili tatu hizi anachangamsha tu watu jioni ya leo
Tamaa ya kufa haijawah kuwa utani ,,,,, wanajf msaidieni mchongo wa ajira au mishe. Mtoa mada mtaani kugumu aiseesa huu ndo utani gani
madako yako wew mleta mada
itajulikana tuTutajuaje sasa kama amekufa kwa kuchelewa
labda mi nimsaidie mawazo tu kuhusu mchango wa ajira hata mimi nausikilizia sina maelekezo kabisaTamaa ya kufa haijawah kuwa utani ,,,,, wanajf msaidieni mchongo wa ajira au mishe. Mtoa mada mtaani kugumu aisee
Watu wanapoteza tu nguvu zao kumshauri mzee wa Chai.Ila huyu kuna uzi alisema kuna demu anamtamani halafu jana akaja na uzi eti yeye katika maisha yake hajawahi kutamani wanawake alipoulizwa kuhusu uzi wake wa nyuma akasema alikuwa anachangamsha genge tu
Sasa utamuamini vipi kirahisi mtu kama huyo?