Maisha ni urembo, jirembe urembuke


Chris_Mambo

Chris_Mambo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2010
Messages
597
Points
195
Chris_Mambo

Chris_Mambo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2010
597 195
Eeh, hii si mchezo. Kweli maisha ni urembo. Ila mnh!.....!
 
awp

awp

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
1,714
Points
1,195
awp

awp

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
1,714 1,195
jogoo wa shamba hawiki mjini, mtafutie kioo apunguze hiyo chaki aliyopakaa
 
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
1,559
Points
1,225
Mkuu rombo

Mkuu rombo

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2012
1,559 1,225
anafanana kwa mbali na RITZ anaweza kuwa mwenyewe
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
31,423
Points
2,000
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
31,423 2,000
Tuacheni utani bhana, she is Cute, hamjui raha ya kuku wa kienyeji nyie mnaobeza hio kitu. Hao wamefundwa ati na kila stage anai-perform kwa kiwango cha juu sana, weewe shangilia hao wa kisasa tu. Ohhh huyo anaenda kuogea mtoni, akimaliza anakaa kwenye jiwe na kujisugua kwa kijiwe natural na anajifua kidog kisha anasubiri jua limpige na kufuli likauke avae huku akijipaka sabuni.....baada ya hapo usiombe ukutane naye sasa kuleeeee. Mmmmh we acha tu
 
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2012
Messages
1,782
Points
1,195
K

kigoda

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2012
1,782 1,195
Waoo hii kitu haina gharama kabisa. Ni mwendo wa kununua chaki na mkaa bhaaaaas!
 
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2012
Messages
2,791
Points
0
ummu kulthum

ummu kulthum

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2012
2,791 0
kame chukizaaaaa vibaya aka ka dada au kaka? maana siku hizi......
 
Thanda

Thanda

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Messages
1,915
Points
0
Thanda

Thanda

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2012
1,915 0
Preta nimekusoma, huwa nakukubali!![QUOTE=Preta;5058152][/QUOTE]
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,557
Points
2,000
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,557 2,000
Wadada wazuri utadhani wadogo wa malaika. Kudadadeki, raha sana kuwa mwanaume rijali, maana Warembo wote hawa hapo kwa ajili ya wanaume rijali tu.
 
babe S

babe S

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
3,785
Points
2,000
babe S

babe S

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
3,785 2,000
Huyo atakua alikua amenuwia kupaint bendera ya taifa,
 

Forum statistics

Threads 1,286,211
Members 494,902
Posts 30,887,440
Top