KiuyaJibu JF-Expert Member Aug 29, 2007 841 175 Oct 11, 2011 #1 Unaweza ishi katika nyumba kama hii?Tafakari,halafu chukua uamuzi. Attachments Maskani.jpg 23.7 KB · Views: 407
KiuyaJibu JF-Expert Member Aug 29, 2007 841 175 Oct 11, 2011 Thread starter #2 Binafsi,ninaogopa.Nikikumbuka MV Spice Islander pande za Nungwi-Pemba sipati picha hapo nitaishi vipi.
Binafsi,ninaogopa.Nikikumbuka MV Spice Islander pande za Nungwi-Pemba sipati picha hapo nitaishi vipi.
Lily Flower JF-Expert Member Oct 16, 2009 2,553 1,197 Oct 11, 2011 #3 Hapo yataka moyo kuishi mambo ya mawimbi ya baharini yasikilizie tu.
Novatus JF-Expert Member Jul 28, 2007 330 37 Oct 11, 2011 #4 View attachment zakumumpa.bmp Na huyu ana nyumba tena ya gorofa kama wazungu
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Oct 28, 2010 27,263 16,288 Oct 11, 2011 #5 haaa kunasiku atajikuta nungwi
M mwacheni77 JF-Expert Member Apr 11, 2011 763 209 Oct 11, 2011 #6 Ila ana maisha ya wacwac kama nyumba yake ilipo duh,ipo ndani ya jiwe la barabara na muda si mrefu magufuri atawatuma majembe(bomoa bomoa)
Ila ana maisha ya wacwac kama nyumba yake ilipo duh,ipo ndani ya jiwe la barabara na muda si mrefu magufuri atawatuma majembe(bomoa bomoa)
chapaa JF-Expert Member Feb 19, 2008 2,351 204 Oct 11, 2011 #7 Hicho kijumba cha kupumzikia sio kwaajiri ya kuishi