Maisha ni nyumba

Maisha ni nyumba

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Unaweza ishi katika nyumba kama hii?Tafakari,halafu chukua uamuzi.
 

Attachments

  • Maskani.jpg
    Maskani.jpg
    23.7 KB · Views: 425
Binafsi,ninaogopa.Nikikumbuka MV Spice Islander pande za Nungwi-Pemba sipati picha hapo nitaishi vipi.
 
Hapo yataka moyo kuishi mambo ya mawimbi ya baharini yasikilizie tu.

 
Ila ana maisha ya wacwac kama nyumba yake ilipo duh,ipo ndani ya jiwe la barabara na muda si mrefu magufuri atawatuma majembe(bomoa bomoa)
 
Hicho kijumba cha kupumzikia sio kwaajiri ya kuishi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom