Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,904
- 1,976
Kumbe baba nae kamshindwa!
Unachesea kifo wewe!
Tungekuwa tunakufa halafu tunarudi Dunia, watu tusingechezea vitu vinavyosababisha kifo kwa mfano kutembea/kukaa kandokando ya barabara, kula chakula mpaka kipimwe kwanza, Nahisi ingekuwa hatari zaidi na shida kubwa kwa wanaorudi Duniani baada ya kufa.
duuh hata kama kuchokwa sio kiivo lol
kulikua na mwalimu mmoja alinifundisha primary hukooo lushoto....! mwanae alibipu kujinyonga ..! yule ticha akamrushia dumu limejaa DDT akamwambia kunywa hii tunataka kutumia kiti ulichosimamia hapo..! dogo alilia kinyama..!
Eeeeh! Makubwa!