Ablessed
Alafu hata kumuonea huruma mtoto wa mwenziwe mana kuna vitu huwezi kumnyima mtoto hata kidogo husasan nawe ukiwa mzazi unajua uchungu wa mtoto
Pole sana kijana maisha ndivyo yalivyo hata hivyo mshukuru Mungu kwa mapito hayo aliyokupitisha naamini kulikuwa na kusudi la yeye kufanya hivyo na leo upo hapo ulipo so MUNGU WETU NI MWEMA SIKU ZOTE
12STONE
Kweli mkuu, nikikumbuka maisha tulopitia na sahivi tulivo Alhamdulillah. Baba yetu alipofariki tuliyumba sana, lkn sihaba mama alikuwa mwalimu na mlezi mzuri ame figt mpk akahakikisha atleast tunasoma vizuri, sisi ilikuwa hatujui kuvaa vizuri,
wala kula vizuri na pa kulala ilikuwa ni kumuomba Mungu tu asubuhi ifike salama. Ugali kwa kachumbari tulikuwa tunaita full suit. Hah ha haaaaa. Maisha yanatufunza kwa kweli muhimu subra tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.