POLE KWA ULIYOYAPITIA HONGERA KWA KUTOLIPIZA KISASI.STORY YAKO INASOUND NDANI KU-MOYO.
Kuna siri kubwa sana imefichika juu hatma ya Mwandamu,Baadhi yao katika Kundi la WALIONACHO hujaa kiburi,dharau,kubehi na vicheko kwa WASIONACHO.
Wakisahau MAISHA NI MWALIMU STADI kwa Wanadamu unajidanganya badala yakuwasaidia Unawacheka wasio na mavazi,chakula na malazi leo hii kesho yake Huyo MASIKINI NI HESHIMA na mwisho wake Huyo MTAJIRI WENYE DHARAU NA UCHOYO NI AIBU NA KILIO.
UKIWA NA RIZIKI WAKUMBUKE NA WENZAKO HUTAIBIKA NA KUISHIWA KWA KUSAIDIA WENGINE.