Maisha ni fumbo, imeniuma sana

Maisha ni fumbo, imeniuma sana

Umenikumbusha mbali sana.wakati nasoma shule ya msingi hizi hizi zetu st kayumba jirani yetu alikua mambo safi sana wanawe walikua wanasoma international school.

Alikua na binti na kijana walikua pia na maringo sana sana wala hawaji associate na watoto wengine mtaani.kama kawa baba akafa,muda haukupita mama nae akafariki,wakapokelewa na ndugu,definetly mambo yalienda mrama.

Basi siku moja nafata mkaa gengeni nikakutana na yule mtoto wa kiume amechokaa mwili na hata mavazi nikakumbuka life yao before nikasema kweli dunia hadaa.wao ndo walikua wakwanza kua na Rav 4 mtaani tena mpya 1999 leo tuko level gengeni acheni Mungu aitwe Mungu.
 
Ila Kuna watu wana roho mbaya jamani acheni tu.sitaki kukumbuka btw pole mkuu usilipe ubaya kwa ubaya.
 
Kweli kabisa
Life is like a roller coaster
 
Maisha yapo kama maua,kuna kuchanua na kunyauka. Na hakuna aijuaye kesho. Kwa hiyo ni vyema tukawa na utu,tuache maringo na masimango kwa walio na shida na matatizo mbalimbali ktk kupata mahitaji yao muhimu ya kila siku..
 
Maisha ni safari ndefu.binadamu hatupaswi kunyanyasa tukiwa na hali nzuri kiafya na kimaisha .maana hatujui maisha yetu hata sekunde moja ijayo.tumtegemee mungu maana aliyekupa ndiye aliyemnyiman
 
Ni kwel kabisa mkuu...huwa nasema malipo ni hapa hapa dunian,kama huwez msaidia mtu usimcheke wala kumnyanyasa kwa kipato chake
 
OIL CHAFU

Mkuu watu hawameki joke coz tumeshapatwa na mijanga kuliko hii tena hiki chako cha mtoto sasa kila mtu akiwa anahadisia humu hatutaamka tutakua tunalia daily. So calm down
 
Last edited by a moderator:
Duu hii story imenigusa sana na imenikumbusha mbali! daaa hakika kila mtu ana story ya kisema...so..sad
 
Preta
Nitumie namba yako ya wasap nikurushie sound clip.
 
Last edited by a moderator:
Shark
Tunaopenda kujifunza kwa makosa ya wengine tunapenda sana kusikiliza au kusoma yaliyowatokea wengine.Nyie mnaotaka kujifunza kwa makosa yenu wenyewe ndo mnasemaga maneno haya.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom