Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,575
- 31,013
Huyu jamaa nina Imani asilimia mia hayupo mamtoni. Yupo hapa bongo tena mkoani anatuzuga tuIsije kuwa kama Paraboa wa Uswis ya Tandale.
Huyu jamaa nina Imani asilimia mia hayupo mamtoni. Yupo hapa bongo tena mkoani anatuzuga tuIsije kuwa kama Paraboa wa Uswis ya Tandale.
Ameandika akiwa Kamachumu ndaani ndani huko karibu na kwa kagameUnarud Lin Bukoba
🤣Nilikua natoa mfano tu Kaka ambao unahusiana![]()
![]()
Congo ipi unayosema?. Watu tunataka kwenda marekani braza we wa wapi
Kila mtu yupo Nje ya nchi humu ndani. Mm nakaa Malmo SwedenMimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri
Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA
Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !
Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .
Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
No una apply kupitia ubalozi wa Sweden Au FinlandVp wanaubaloz hapa bongo
latvia imo jumuiya ya NATO maana Putin asije isambaratisha
Kutoka latvia had Moldova Kuna usafir wa treni au ndege TU?
Bidhaa hitajika kutoka bongo au east afrika kwa ujumla n zipi?
Vp mfumo wa wao waelimu upoje wanatumia lugh ipi kufundishia?
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tupe connection tufike huko Dunia ya kwanza mkuu ili tuje tubomoe Yale magorofa ya zamani Bukoba Mjini.B
Badobsanaaa
Conenction tafuta mwenyewe utapataTukuulize nini sasa wakati tukitafuta hata connection za kwenda huko mnatubania.
bora wapopo na wakenya wanasaidiana. Mibongo ubinafsi mwiiingi
Tupe connection tufike huko Dunia ya kwanza mkuu ili tuje tubomoe Yale magorofa ya zamani Bukoba Mjini.
Chonka amaisha nogabonota kununju amahela ngaguma mno umkaikaikulu yashobez