Maisha ndani ya Latvia 2019-2022

Maisha ndani ya Latvia 2019-2022

kyaibumba

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2017
Posts
715
Reaction score
1,009
Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri

Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA

Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !

Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .

Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
 
Kama kudanganya watu umedanganya sana na bado unaendelea. Utaacha lini?
 
Tukuulize nini sasa wakati tukitafuta hata connection za kwenda huko mnatubania.

bora wapopo na wakenya wanasaidiana. Mibongo ubinafsi mwiiingi
Usiongee kwa kulalamika. hakuna mwenye wajibu wa kukusaidia kwenye hii dunia. Mafanikio ni mapambano binafsi! Inawezekana husaidiwi kwa sababu ya kauli kama hizi za kufikiria kwamba "waTanzania" walioko majuu wana wajibu wa kukusaidia. Haiko hivyo.
 
Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri

Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA

Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !

Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .

Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Unarud Lin Bukoba
 
Siyo lazima afunguke kila kitu, hapo kaongea kwa kifupi tu.

Watanzania hatuna connectivity kama walivyo hao aliowataja ndiyo ukweli huo, but siyo msaada bali - connection.
 
Usiongee kwa kulalamika. hakuna mwenye wajibu wa kukusaidia kwenye hii dunia. Mafanikio ni mapambano binafsi! Inawezekana husaidiwi kwa sababu ya kauli kama hizi za kufikiria kwamba "waTanzania" walioko majuu wana wajibu wa kukusaidia. Haiko hivyo.
Sasa mtu analazimisha nimuulize ulize nini sasa?

kuji show off kwamba katembea sana?

Kwani huko hakuna fursa za ku connect wengine? mpaka mkija ndio.mtupe vistory vya ughaibuni tuwaone miungu watu?

Fanyeni mambo muache legacy ya kukumbukwa na vizazi vingi, sio vistory vya umbea umbea.

I'm out
 
Yani Mimi tena ndo nikuulize? Kwani Nani mwanzo kakuuliza unaishi wapi?
Hahahaaaa... Tutajuaje kama Yuko ughaibuni.Mbaya zaidi anataka maswali lakini ku connect watu wengine na wao wafike huko Norway,Lativia,Sweden, Luxembourg hataki.hahaha
 
Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri

Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA

Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !

Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .

Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
We jamaa mbona ulisema upo Norway
 
Hii story imejaa mifupa Haina nyama,hapo ulipotaja miji na nchi mwingine anaweza akaweka majina mengine kama masasi,kyelwa,mtambaswala na story itakuwa Haina tofauti zaidi ya majina
 
Sasa mtu analazimisha nimuulize ulize nini sasa?

kuji show off kwamba katembea sana?

Kwani huko hakuna fursa za ku connect wengine? mpaka mkija ndio.mtupe vistory vya ughaibuni tuwaone miungu watu?

Fanyeni mambo muache legacy ya kukumbukwa na vizazi vingi, sio vistory vya umbea umbea.

I'm out
Boss punguza makasiriko mbona humu Wana wanatupa Sana njia za kutoboa,mfano mwezi uliopita Kuna mtu kaleta Uzi ametushauri vijana kutumia fursa ya congo kujiunga EAC jamaa katushauri tukifuga wanyama mfano mbuzi,kulima mazao ya chakula tupeleke Kule tunatoboa
Yeye jukumu lake limeishia hapo kilichobaki ni sisi kupambana,hat huyu mleta mada hawezi kukushika mkono akupeleke ulaya Bali anaweza kukusaidia ukishafika wewe Kule kwa gharama zako na kukuelekeza michongo
 
Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri

Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA

Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !

Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .

Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Mkuu nimekutext pm hujanijibu dah . Kweli bongo bahati mbaya bora kila mtu apambane separately tu
 
Boss punguza makasiriko mbona humu Wana wanatupa Sana njia za kutoboa,mfano mwezi uliopita Kuna mtu kaleta Uzi ametushauri vijana kutumia fursa ya congo kujiunga EAC jamaa katushauri tukifuga wanyama mfano mbuzi,kulima mazao ya chakula tupeleke Kule tunatoboa
Yeye jukumu lake limeishia hapo kilichobaki ni sisi kupambana,hat huyu mleta mada hawezi kukushika mkono akupeleke ulaya Bali anaweza kukusaidia ukishafika wewe Kule kwa gharama zako na kukuelekeza michongo
Congo ipi unayosema?. Watu tunataka kwenda marekani braza we wa wapi
 
Unaeza kuta hawa ndo wale jamaa wa elf ishirini kama yule ugumu something
 
Mimi kwa kawaida uwa situlii sehemu moja Na Uzuri nimeshajua techniqyes za kusafiri

Baada Ya Ukriane ambayo ilikuwa kama njiapanda to The rest of The world Nimekaa Norway mwaka mzima , nikapata Kuja kutulia zangu LATVIA RIGA

Maisha kwa ujumla ni mazuri Na watu wake wako charming wanaeleweka wamenipa mpaka mke !

Kwasasa Nahisi ntatulia Na kuzeekea hapa kama sitahamishwa maana kuna Tetesi za kupelekwa Luxembourg 2023 January .

Kuhusu RIGA maisha Yao ukitaka kujua CHOCHOTE niulize
Ok mkuu hebu tueleze Latvia wanaongea lugha gani na sarafu yao inaitwaje? Ipo kwenye European Union? na viza yake inapatikana wapi?
 
Nahisi jibu utakalopewa ni njoo PM na huko mchongo utabadilika kwenda kwenye kulipishana pesa ndogo kwa jamaa mwenye connection.

Hapa kunawekwa tester tu, bidhaa kamili ipo inbox.
 
Isije kuwa kama Paraboa wa Uswis ya Tandale.
 
Back
Top Bottom