Maisha ndani ya Korea Kaskazini Pyongyang

Maisha ndani ya Korea Kaskazini Pyongyang

Vipi mzee kama nitazifotoa na kuziback up google photos kwa mfano! Kisha nikaifuta, ama huko nako apps kama hizo zimepigwa ban!?

Ikitokea wakushtukie, uisahau Bongo maana utakamatwa na kupelekwa wanakopelekwa majasusi na maadui wa mkulu Kim, huko wanasaga meno na kutamani bora wafe.
Hivyo hamna haja ya kujitia kwenye matatizo kisa umeficha kapicha fulani ambako kanaonyesha njaa huko au makazi duni.
 
You tube kumejaa Video ambazo watu waliofanikiwa kwenda huko walijaribu kuleta uhalisia wa maisha ya huko... unaweza ukaenda kuzichek then ukaamua mwenyewe kama ni kweli ama sio kweli

moja wapo ni ni hii link hapa chini

Mbona pazuri ukilinganisha na Afrika huku. Halafu huyo jamaa kwenye video, kama yeye kidume arudi huko huko.
 
ukitembelea huko na ukafanikiwa kurekodi ukitoka ukairusha video basi ujue ndo umejipa BAN ya maisha maana ukikanyaga tena kule watakugeuza ndafu.

Tatizo wageni aliowaacha huko watapitia hali ngumu, na pia wana usalama waliomkagua bila kupata kitu, na hata waliokua wenyeji wake, yaani kurusha video kama hizi lazima utumie akili kwanza kutathmini madhara yake, bora angeirusha huku ameficha sura yake maana waliokua wenyeji wake watakipata pata..
 
ukitembelea huko na ukafanikiwa kurekodi ukitoka ukairusha video basi ujue ndo umejipa BAN ya maisha maana ukikanyaga tena kule watakugeuza ndafu.
Kiduku alimuua mjomba wake ambae alikua mmoja wa ma generali wa jeshi seuse wewe usie na undugu nae
 
Hii kitu ilikuwa huku kwetu enzi za Nyerere mabalozi wa Nyumba kumikumi walikuwa wanaheshimika kweli huwezi kuingia kwenye boma la mtu bila kutoa Taarifa siku hizi hadi waburundi wanajiita waha

Sent using Jamii Forums mobile app
Na balozi anamjua babu yako, warundi walijulikana wote maana walikuja kukata mkonge. Na kambi waliyokuwa wameajiriwa ilijulikana na ma supervisor wao.
 
Wanatamani wenyewe wacheze hata Jumong..sema sasa Kiduku.

Wananchi wamepoa poa unaona tu Picha zao.Wanyonge wanyonge
 
Back
Top Bottom