Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,532
- 81,261
Kim Il Sung na Kim Jong IlView attachment 1350937
Sanamu ya muasisi wa Taifa na mtoto wake Dear Leader. Ukifika hapa ni lazima kuabudu ndiyo ishara ya heshima.
Kim Il Sung na Kim Jong IlView attachment 1350937
Sanamu ya muasisi wa Taifa na mtoto wake Dear Leader. Ukifika hapa ni lazima kuabudu ndiyo ishara ya heshima.
Kumbe hola, yaani Tz tuna afadhali banaZamani nilikuwaga najua Korea kaskazini wako njema sana kuliko South Korea kwa maisha mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Zamani nilikuwaga najua Korea kaskazini wako njema sana kuliko South Korea kwa maisha mazuri
Sent using Jamii Forums mobile app
kupiga picha ni kama kuidhalilisha ,hao ni kama mungu kuisalimia ni lazima,,ni sheria ya nchiMkuu kwani nyuma kuna nini?
hayo maandishi ukutani yanamaanisha nini?View attachment 1350930
Makazi ya watu wa hali ya kipato cha chini. Nyumba hizi ni za serikali na hupangishwa kwa wananchi.
Wanajeshi wanajua kila kitu kinachohusu usalama wa nchi hata idadi ya wageni walioingia.
Mmh😃View attachment 1350935
Mama ntiie mjini Pyongyang