Maisha ndani ya Korea Kaskazini Pyongyang

Maisha ndani ya Korea Kaskazini Pyongyang

Kumbe hola, yaani Tz tuna afadhali bana

Sent using Jamii Forums mobile app
Msiwe mashabiki Wa kutupwa.. Linganisha nyumba ya kijijini ya mtanzania na hyo ya kijijini ya Korea
tapatalk_1581260378213.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefika mpaka wa Korea kaskazini na kusini nina imani haitapita miaka mitano bila kufika Korea kaskazini
 
Aliyepiga hizi picha alifaulu kivipi kuzitoa nje maana kule unakaguliwa na uhamiaji mpaka kwenye simu, wanaangalia na kufuta baadhi ya picha.
 
Mmmhhhh
Mwananchi kuja mjini ni kwa kibali maaalumu na utakaa siku ngapi na unae da kwa lengo gani ??

Vibali vyote vya kusafiri vinatolewa na jeshi ...na hauruhusiwi kumiliki gari

Gari ni nyara ya serikali .....

Vipindi vya televisheni ni Televition mbili tu nazo ninza Taifa zinamuda wa kurusha matangazo na muda wa kufungwa



sent from toyota Allex

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom