Termux Black
Member
- Jan 30, 2022
- 23
- 32
Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona BITCOIN na ndio ulikua mwaka ambao ilianza kupata soko, bei ya coin moja ilikua ni ndogo sana nakumbuka ni 200$ kitanzania ni 450k Tsh, sasaiv coin moja ni 35,000$ takrobani 80mil Tsh.
Muda unakimbia na coin inazidi kupanda thamani, hata ukiangalia katika cap rate za crypto, yenye rate kubwa ni BITCOIN yenye 800 billion Dollar.
Kuna utajiri ulojificha na wachache ndio wanauona.
Termux_Black