In simple terms, risk is the possibility of something bad happening. Risk involves uncertainty about the effects/implications of an activity with respect to something that humans value (such as health, well-being, wealth, property or the environment), often focusing on negative, undesirable consequences. Many different definitions have been proposed. The international standard definition of risk for common understanding in different applications is “effect of uncertainty on objectives”.The understanding of risk, the methods of assessment and management, the descriptions of risk and even the definitions of risk differ in different practice areas (business, economics, environment, finance, information technology, health, insurance, safety, security etc). This article provides links to more detailed articles on these areas. The international standard for risk management, ISO 31000, provides principles and generic guidelines on managing risks faced by organizations.
Salaam, twende kwenye mada,
Ukiwa kama mwanaume hutakiwi kufanya haya;
1. Kutokuwa na pesa wala kazi yoyote ya kukuingizia kipato.
2. Kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja wakati huna kipato kikubwa.
3. Kumpondea mwanaume mwenzako kwa mwanamke.
4. Kutokuwa na manzi/kutofanya mapenzi.
5. Kutovaa...
Wakuu habari,
Kama kichwa kinavyojieleza sitaki kuteta sana naenda straight forward mtaani kumekuwa kugumu kwelikweli mishe hazionekani all legit work zimeadimika tozo zimekuwa nyingi nimefikiri ya kufanya na sasa nimefikia into a conclusion kufanya carding tu nijiokoe na haya maisha.
Kama...
Unamleta Dar demu kutoka Arusha, umemlipia tiketi ya ndege go and return, umelipa hoteli chumba super deluxe 150,000/, maandalizi kibao umeyafanya ambayo yamegharimu hasa kipato chako.
Umeenda airport kumpokea mchuchu, mashamsham kibao, halafu demu anakwambia ameanza kubleed wakati wa take off...
Karibu nikuzie laptop na computer aina zote kama:
-HP
-DELL
-LENOVO
-APPLE
-FUJITSU
-ALIENWARE
-SAMSUNG n.k
Accessories aina zote zinapatikana kama:
-RAM (1gb 2gb 4gb 8g)
-Hard disk (180gb, 320gb, 500gb, 1000gb, 2000gb)
-Adapter charge aina zote
-Keyboard na Mouse wired na wireless...
Nakumbuka ilikua 2017 Mida ya jioni nipo na laptop yng naperuzi mtandaoni kumtafuta njia ya kuningixia pesa bila ya mimi kuwa na mizunguko miingi, katika kuperuzi hapa na pale first time nikaona BITCOIN na ndio ulikua mwaka ambao ilianza kupata soko, bei ya coin moja ilikua ni ndogo sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.