Maisha mazuri ni yapi?

Maisha mazuri ni yapi?

Inspired ''Habari njema ni hizi maisha mazuri kwa dfn yangu hapo juu mwanadamu atayapata atakaporudi kwa njia ya muumba wake anae jua kusudi la maisha yake hapa duniani.''

Hilo ndio la maana, kujua kusudi lako hapa duniani.....

Maisha mazuri ni pale utakapoishi pasipo wasisiwasi wa kesho! Kitu ambacho mwanadamu wa damu na nyama hato kaa akipate kwenye dunia hii. Thus why maasi na kuchanganyikiwa kote walkonako wanadamu wa dunia hii ya leo wamejikuta wanahamu ya kupata ila wapi.... Habari njema ni hizi maisha mazuri kwa dfn yangu hapo juu mwanadamu atayapata atakaporudi kwa njia ya muumba wake anae jua kusudi la maisha yake hapa duniani. To make thingz cplicated without jesus in you no life purpose to you.... Asomae na afahamu......
 
kwangu maisha mazuri ni 1,kuishi maisha ya amani.ie kuwa na hofu ya Mungu 2,Malengo yangu kutimia.full stop
 
kila mtu ana aina ya maisha mazuri aliyojipangia hatufanani
 
mimi binafsi maisha mazuri nikupata kile ninachokitaka na kwa wakati.
 
Katika Dunia hii BINADAMU anahangaika asubuhi, mchana na usiku, ukimuuliza kwa nini? Anasema anatafuta maisha.. Maisha gani? atajibu maisha mazuri, ya namna gani? Atajibu nataka: Gari, nyumba, mke/mme mzuri, nk.. Sasa mbona kuna watu wana kila kitu lakini hawana raha katika Dunia hii?

Hebu tujiulize je maisha mazuri ni yapi?

La hasha ngoja nikupe siri ya kuwa na maisha mazuri=ni kuridhika na hali halisi ulo nayo, kuwa na hofu ya Mungu, kuishi vizuri na watu, kusamehe walokukosea, kuwa na Upendo na utu.. Hii ndo siri ya maisha mazuri.. Mungu akujalie hivi vyote...

Ewe MJA kumbuka, staili uliyoingia nayo duniani ndiyo hiyo hiyo utakayo ondoka nayo duniani. Ulikuja duniani ukilia na siku ya kuondoka duniani watalia.

Ulikuja duniani huna nguo wakakuvisha na utaondoka duniani huna nguo pia watakuvisha. Ulikuja duniani ukaogeshwa na utaondoka duniani watakuosha. Ulikuja duniani huwezi kutembea ukabebwa na utaondoka duniani huwezi kutembea utabebwa. Zinduka ewe mja, tubu haraka . Dunia ni chumba cha mtihani.

MUNGU aliumba Ardhi na Mbingu, Miti na Wanyama wala Hakujisifia lakini alipoumba kiumbe mzuri kama WEWE alijisifia na akasema "NIMEMUUMBA MWANADAMU KATIKA UMBO LILILO BORA"

Kweli tajiri kama Baharesa mpaka leo anahangaika hajatoka kimaisha
 
[Rampage]-Alicia keys-fallin remix


You was with me ma when I first copped my deal
Bought you the 5 karats plus the house on the hill
The blue escalade with them new chrome-e wheels
You told me the other day I dont know how you feel
Its been 5 months, I been driving you crazy
You told your friend the other day you was havin my baby
Sayin I'm acting funny, Ramp I'm so crazy
All you wanna do is be my number one lady
Fallin Fallin

House on the Hill-Water Front
View attachment 107619
attachment.php

Rick Ross-Know What I'm Doin
If you don't love Cash Money you can stay broke
Fifty on the chain twenty for the piece
A grand for the bitch the whip is not a lease
You know I'm stuntin' hard Phantoms in the back yard

attachment.php

View attachment 107620

Bow wow-I Think They Like Me(DEM FRANCHIZE BOYS)
Swimming pool in the front and the back yard
I aint got to act hard
I'm under 21 with a black card

attachment.php

View attachment 107621



Tony Yayo-Curious
You my boo like Usher and Alicia Keys
And every time that you touch me girl you please my needs
We like George and Weezy, Jada and Will
Lets shop till we drop out in Beverly Hills

attachment.php

View attachment 107622

Tupambane wazeiiya haya ndio maisha.
 
Back
Top Bottom