daisyvicky
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 343
- 198
Kwani ulivyomalizaga form 6 ilikuaje?? Kumbe na wewe umemaliza Udsm ennhh
Angalia usije ukaanza kusukuma msuba...
Taratibu utazoea, ilimradi usikae bila kuwa na kitu cha kufanya.
Week iliyopita nimeanza rasmi maisha mapya baada ya kumaliza shule..ah ndani ya week moja Tu nayaona magumuu.
Nahisi kua soo lonely,namiss marafiki nliosoma nap japo twawasiliana kwa simu
Kuna mda naona kama sijielewii..sijui hata najiskiaje..
. Wakuu wenye busara napenda kusikia namna mlivocope na hiki kipindi cha transition toka uanafunzi to ufanyakazi na especially wakati mnatafuta kazi.regards!
Angalia usije ukaanza kusukuma msuba...
following are rules to follow after school..
1. Uwe unaeenda magengeni ili ubane hela za vocha
2. Uwe unaenda church au msikitini ili ubane hela ya sadaka
3. Mpotezee demu wako hasa kama ni mpenda hela
4. Uwe unaomba safari hasa za mkoani ili
sawa mkuu sio unalialia tu..
hehehe sureduu aisee job true true..
kipindi unasoma! Hukujiweka na utiyari wa maisha ya mtaani!!! We ni Me au Ke!! Kama ni Me siuoni cha ajabu kubaliana na khali uliyonayo kwa sasa!
aksante mwaya..ni raha kweli japo meshamiss shule alreadyHongera kwa kumaliza
hahaha my brother..siwezi kufanya hivo japo an idle mind z d devilz workshop..najitahidi kujikeep busy
Ungekuwa unajikeep busy usingejihisi mpweke then.hahaha my brother..siwezi kufanya hivo japo an idle mind z d devilz workshop..najitahidi kujikeep busy
duu aisee job true true..
ile ya brasilian unayo?