Maisha: Kwa hili namshukuru Mungu

Maisha: Kwa hili namshukuru Mungu

shikamoo mkuu. wivu sio dawa kikubwa ni malengo ya kufanya vikubwa zaidi %hongera sana%
 
Nimefanya kazi kwenye makampuni mengi ya uchimbaji madini, kwa miaka takribani mitano bila kujenga nyumba, kila nilipofika nyumbani kwa ajili ya likizo baba alikuwa ananiuliza swali ambalo lilikuwa linanichoma moyo sana....!

Mwanangu vip ushaanza ujenzi? Kwa masikitiko nilikuwa sina jibu la kumpa,

Kilichokuwa kinaniuma zaidi ni wenzangu nilianza nao kazi na wengine walikuja nyuma yangu walikwisha anza ujenzi, nilikuwa naumia sana ndani ya nafsi yangu bila kumweleza mtu, kwa sasa nilishaanza ujenzi na nipo kwenye lenta, Mungu ashukuriwe.

Amen. Namshukuru Mungu kwa mafanikio yako Dear. Na ninaomba azidi kukufungulia milango Mingi ya Baraka na Neema zake hata Yale yasiowezekana , yakawezekane kwa jina LA Yesu. Ninavunja kila Roho ya kukata tamaa, chuki, wivu , nguvu za Giza , Roho ya Mauti kwa jina la Yesu Kristo Wa Nazareth. Damu ya Yesu ikatawale maishani mwako na kila katika mafanikio yako kwa jina la Yesu. Roho Wa Mungu azidi kukuongoza na kukutia nguvu in Jesus Name. Amen. You are Blessed dear. ( Katika kila mafanikio usisahau Sadaka pia ya shukurani ) . Thanks..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom